D

D ni herufi ya 4 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa.

Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
Aa Bb Cc ch Dd
Ee Ff Gg Hh Ii Jj
Kk Ll Mm Nn Oo Pp
Qq Rr Ss Tt Uu Vv
Ww Xx Yy Zz

Asili yake ni Delta ya alfabeti ya Kigiriki.

Maana za D

Historia ya D

Hieroglifu ya Misri
mlango
Kisemiti asilia
Mlango (wa hema)
Kifinisia
Dalet
Kigiriki
Delta
Kietruski
D
Kilatini
D
O31
D  D  D  D  D 

Asili ya herufi D ni miandiko iliyotangulia alfabeti ya Kilatini. Waroma walipokea mwandiko kutoka alfabeti ya Kigiriki kupitia alfabeti za Kiitalia za awali kama Kietruski. Wagiriki walipokea kutoka Wafinisia.

Wafinisia walikuwa na alama ya "dalet" iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya mlango wakitumia alama tu kwa sauti ya "d" na kuiita kwa neno lao kwa mlango "dalet". Wagiriki walichukua alama hiyo na kuiita "Delta" bila kujali maana asilia ya "mlango" ilikuwa sauti tu ya "d".

Waitalia wa kale kama Waetruski wakapokea herufi kwa umbo lisilokuwa na kona kali. Waroma wakaichukua lakini waligeuza mwelekeo wake kuwa D jinsi ilivyo hadi sasa.

Tags:

Alfabeti ya KigirikiAlfabeti ya KilatiniDelta (herufi)Kiswahili

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KiimboNamba ya mnyamaLahajaUfupishoAthari za muda mrefu za pombeHistoria ya IsraelTaasisi ya Taaluma za KiswahiliUsawa (hisabati)NafsiShahawaUlumbiVirusi vya UKIMWIIsimuElizabeth MichaelHisiaTendo la ndoaMtoto wa jichoViwakilishi vya kuulizaWamasoniAngahewaUkimwiKamusi za KiswahiliLionel MessiMusaNusuirabuKajala MasanjaUshairiTanzaniaUjerumaniMkoa wa Unguja Mjini MagharibiNg'ombeMkoa wa SingidaUtumwaMashariki ya KatiOrodha ya makabila ya TanzaniaNdege (mnyama)Nyasa (ziwa)Mkuu wa wilayaKenyaUgonjwa wa ParkinsonMapambano ya uhuru TanganyikaMenoTAZARANabii IsayaJipuMshororoVivumishi vya kuoneshaMweziHistoria ya Kanisa KatolikiRitifaaJokofuMwanamkeOrodha ya majimbo ya MarekaniBarabaraVivumishi vya -a unganifuKutoka (Biblia)Utoaji mimbaBibliaMamlaka ya Mapato ya TanzaniaFonetikiAlama ya uakifishajiUchawiMwanga wa JuaUkwapi na utaoUchapajiNyokaHistoria ya UislamuUEFAInsha ya kisanaaTarafaKamusi elezoMitume wa Yesu🡆 More