Barbadosi

Barbadosi ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi takriban 430 km kaskazini - mashariki kwa Venezuela (Amerika Kusini).

Barbadosi

Nchi jirani za karibu kuvukia bahari ni Saint Lucia na Saint Vincent upande wa magharibi, Trinidad na Tobago upande wa kusini na Grenada upande wa kusini-magharibi.

Barbados ni kisiwa cha Antili Ndogo. Kwa urefu kinafikia km 34 na kwa upana 23.

Wakazi ni 277,821, na kwa asilimia 91 wana asili ya Afrika, 4% ya Ulaya, 1% ya India.

Lugha rasmi ni Kiingereza, ingawa wakazi wengi kabisa wanaongea kwa kawaida aina ya Krioli inayoitwa Kibajan.

Upande wa dini, 75.6% ni Wakristo, hasa Waanglikana (23.9%) na Wapentekoste (19.5%). Dini nyingine kwa pamoja zinafikia 3%, kwa kuwa 21% hawana dini yoyote.

Tazama pia

Barbadosi  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Barbadosi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Amerika KusiniBahari ya KaribiKaskaziniKmMasharikiNchi ya kisiwaniVenezuela

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UshairiMafua ya kawaidaUzalendoTanganyika African National UnionAgano JipyaRamaniOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMauaji ya kimbari ya RwandaIstanbulMkoa wa LindiKumamoto, KumamotoMitume wa YesuKongoshoUgonjwa wa kuharaKipazasautiUandishi wa inshaSan Jose, CaliforniaUmemeKisimaVitendawiliHuzuniMethaliMichezo ya watotoBiashara ya watumwaShinikizo la juu la damuOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaHistoriaOrodha ya Magavana wa TanganyikaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMkoa wa DodomaLakabuKiongoziKarafuuNomino za dhahaniaRayvannyAsidiKitenzi kikuuNamba za simu TanzaniaUkooMsituJipuOrodha ya volkeno nchini TanzaniaRushwaMaishaIsimujamiiInsha ya wasifuSensaSimbaMimba kuharibikaMkoa wa ShinyangaSitiariMkutano wa Berlin wa 1885LilithFananiShabuSimba S.C.UislamuKampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya MasharikiOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoSaratani ya mlango wa kizaziAnwaniNafsiManispaaWagogoNgonjeraJogooMfumo wa mzunguko wa damuVivumishi vya idadiReal MadridHeshimaSalim KikekeNomino za wingiSiasa🡆 More