Jakarta

Jakarta (zamani iliitwa Batavia) ni mji mkuu wa Indonesia. Iko kwenye kisiwa cha Java, na mahali pake ni 6, 11, Kusini, na 106, 50, Mashariki. Ukubwa wa eneo lake ni 661.52 km². Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa 8,792,000 (mwaka wa 2004).

Jiji la Jakarta
Nchi Indonesia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 8 792 000
Tovuti:  www.jakarta.go.id/
Jakarta
Ramani ya Indonesia inayoonyesha mahali pa Jakarta
Jakarta Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jakarta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Simba S.C.Mji mkuuReli ya TanganyikaJinaKidole cha kati cha kandoNgiriSeliYouTubePakaKiambishiVielezi vya namnaMbonoMafumbo (semi)Maradhi ya zinaaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaChelsea F.C.Uandishi wa ripotiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaMisemoMgawanyo wa AfrikaBaraza la mawaziri TanzaniaMalariaUkoloniSheriaVoliboliMbwana SamattaOrodha ya visiwa vya TanzaniaJongooKarafuuAlama ya uakifishajiEdward SokoineTenziMahakama ya TanzaniaWamanyemaKadi za mialikoLatitudoRose MhandoUfinyanziBendera ya ZanzibarIntanetiUaAthari za muda mrefu za pombeKaswendeStashahadaMapenziTamthiliaUgaliFalme za KiarabuTabianchiMajira ya mvuaMbuniUtumwaMofimuVivumishi vya -a unganifuUNICEFRaiaUhakikiTendiSaratani ya mlango wa kizaziMohamed HusseinUandishi wa inshaLuhaga Joelson MpinaSinagogiKunguniMpwaKupatwa kwa JuaTiba asilia ya homoniMiundombinuUmemeOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniUhalifu wa kimtandaoNomino za kawaidaAfrika KusiniMfumo wa Jua🡆 More