Borneo

Borneo ni kisiwa kikubwa cha pili cha Asia ya kusini-mashariki.

Eneo lake ni 740,000 km². Duniani visiwa vya Greenland na Guinea Mpya pekee ni vikubwa zaidi.

Borneo
Borneo tar. 17-05-2002
Borneo
Picha ya ramani kuonesha mahali pa Borneo kati ya visiwa vya Indonesia

Borneo hutawaliwa na nchi tatu:

Hali ya hewa ni ya kitropiki. Maeneo makubwa ni misitu minene.

Idadi ya wakazi ni milioni 15.7 (2005) na msongamano wa watu ni wakazi 16/km².

Watu ni Wadayak, Wamalay na Wachina.

Borneo Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Borneo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AsiaGreenlandGuinea MpyaKisiwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TashihisiRitifaaLionel MessiSinagogiLigi Kuu Tanzania BaraOrodha ya milima ya TanzaniaMohamed HusseinBunge la TanzaniaMaudhuiMkoa wa MbeyaHoma ya matumboUkristo nchini TanzaniaMbwana SamattaKodi (ushuru)Usafi wa mazingiraFutiMohamed Omary MchengerwaUtandawaziNuktambiliWilaya ya IlalaMnururishoNathariMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaTabainiKiambishiKamusiOlduvai GorgeAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMalariaPijiniKisaweMkoa wa ManyaraDodoma (mji)NetiboliNyweleHistoriaVidonda vya tumboAdolf HitlerBaraza la mawaziri TanzaniaRisalaAkiliMbuga za Taifa la TanzaniaVivumishi ya kuulizaMoses KulolaAfrika ya MasharikiMwanzoMpira wa miguuMadawa ya kulevyaAfrika KusiniSalaWhatsAppVieleziMkoa wa MwanzaMkataba wa Helgoland-ZanzibarNomino za dhahaniaHedhiViwakilishi vya sifaKiingerezaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoLeonard MbotelaAdhuhuriMange KimambiKitaluMjombaKabwe Zuberi ZittoOrodha ya makabila ya KenyaPanziUaUgandaAla ya muzikiHistoria ya TanzaniaOrodha ya mapapaKifua kikuuMkwawaMzunguko wa Bahari Nyekundu🡆 More