Mauritania

Mauritania ni nchi ya Afrika kaskazini-magharibi.

Upande wa magharibi kuna pwani ya bahari ya Atlantiki, upande wa kusini imepakana na Senegal, upande wa mashariki na Mali na Algeria, upande wa kaskazini na Sahara ya Magharibi inayotawaliwa na Moroko.

Mauritania

Jina limeteuliwa kutokana na Mauritania ya kale iliyokuwa ufalme wa Waberber kusini kwa Mediteranea katika eneo la Algeria na Moroko ya leo.

Mji mkuu ni Nouakchott. Mji wa pili na kitovu cha uchumi ni bandari ya Nouadhibou karibu na mpaka wa Sahara Magharibi.

Wilaya za Mauritania

Mauritania ina wilaya 12 (zinaitwa "wilāyah").

  1. Adrar (Atâr)
  2. Assaba (Kifa)
  3. Brakna (Aleg)
  4. Dakhlet Nouâdhibou (Nouâdhibou)
  5. Gorgol (Kaédi)
  6. Guidimaka (Sélibabi)
  7. Hodh ech Chargui (Néma)
  8. Hodh el Gharbi (‘Ayoûn el ‘Atroûs)
  9. Inchiri (Akjoujt)
  10. Nouakchott (mji mkuu)
  11. Tagant (Tidjikja)
  12. Tiris Zemmour (Zouérat)
  13. Trarza (Rosso)
Mauritania 

Siasa ya Mauritania

Mnamo Machi 2007 wananchi walipata nafasi ya kumchagua rais mara ya kwanza katika historia ya nchi tangu uhuru. Sidi Ould Cheikh Abdallahi alishinda katika duru ya pili kwa 53% za kura zote akaapishwa tarehe 20 Aprili 2007.

Watu

Wakazi wengi (70%) ni Wamori, mchanganyiko wa Waarabu, Waberber na Waafrika waliotokana na watumwa kutoka kusini kwa Sahara. Asilimia 30 zilizobaki ni makabila ya Kiafrika yasiyoongea Kiarabu, ambacho ndicho lugha rasmi.

Upande wa dini, karibu wote ni Waislamu (hasa Wasuni). Uhuru wa dini unabanwa sana kwa nyingine zote.

Pamoja na hayo, hadi leo asilimia 4 za wakazi ni watumwa, ingawa mwaka 2007 ilifutwa haki ya kuwamiliki.

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Mauritania 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:


Nchi za Afrika Mauritania 
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira
Mauritania  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mauritania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Mauritania Wilaya za Mauritania Siasa ya Mauritania WatuMauritania Tazama piaMauritania MarejeoMauritania Viungo vya njeMauritaniaAfrikaAlgeriaAtlantikiBahariMaliMorokoSahara ya MagharibiSenegal

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Afrika ya MasharikiBibliaLugha za KibantuJohn MagufuliNevaNg'ombeDiamond PlatnumzMuundo wa inshaIniOrodha ya Marais wa TanzaniaJay MelodyBendera ya ZanzibarShomari KapombeSkeliMeno ya plastikiTabainiNamba tasaKenyaViunganishiKanisa KatolikiMaghaniArudhiHarusiUongoziUhakiki wa fasihi simuliziSteve MweusiNdoaFani (fasihi)IbadaUchapajiMtoto wa jichoBendera ya TanzaniaSimu za mikononiRamaniMkoa wa MtwaraMisemoKiburiOrodha ya miji ya TanzaniaKata (maana)Mkuu wa wilayaUkristoMariooKatibaKima (mnyama)Orodha ya vyama vya siasa TanzaniaNomino za pekeeVivumishi ya kuulizaNelson MandelaSakramentiSemantikiUtamaduni wa KitanzaniaKiongoziUandishi wa barua ya simuYesuAzimio la ArushaMbaraka MwinsheheWahaKunguruMkoa wa MorogoroMfumo wa vyama vingiNgome ya YesuMnazi (mti)Kishazi tegemeziKamusi za KiswahiliUbatizoMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMtandao wa kompyutaMshororoOrodha ya volkeno nchini TanzaniaNenoUaRoho MtakatifuMkoa wa IringaUchimbaji wa madini nchini TanzaniaMkoa wa KilimanjaroTafsida🡆 More