Kamerun

Kameruni, kirasmi Jamhuri ya Kameruni, ni jamhuri ya muungano katika Afrika ya Magharibi.

Jamhuri ya Kameruni
République du Cameroun (Kifaransa)
Republic of Cameroon (Kiingereza)
Nembo ya Kamerun
Nembo
Kaulimbiu ya taifa:
Paix – Travail – Patrie (Kifaransa)
Peace – Work – Fatherland (Kiingereza)
"Amani – Kazi – Nchi"
Wimbo wa taifa: Chant de Ralliement
Mahali pa Kamerun
Mahali pa Kamerun
Mji mkuuYaunde
3°52′ N 11°31′ E
Mji mkubwa nchiniDuala
04°03′ N 09°41′ E
Lugha rasmi
SerikaliJamhuri yenye mdikteta
 • Rais
 • Waziri Mkuu
Paul Biya
Joseph Dion Ngute
Eneo
 • Eneo la jumlakm2 475 440
 • Maji (asilimia)0.57
Idadi ya watu
 • Kadirio la 202330 135 732
Pato la taifaKadirio la 2023
 • JumlaOngezeko USD bilioni 49.262
 • Kwa kila mtuOngezeko 1 721
Pato halisi la taifaKadirio la 2023
 • JumlaOngezeko USD bilioni 133.335
 • Kwa kila mtuOngezeko USD 4 660
Maendeleo (2021)Imara 0.576 - wastani
SarafuFaranga ya CFA
Majira ya saaUTC+1
(Afrika Magharibi)
Upande wa magariKulia
Msimbo wa simu+237
Msimbo wa ISO 3166CM
Jina la kikoa.cm

Imepakana na Nijeria, Chadi, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kongo, Gabon, Gine ya Ikweta na Ghuba ya Gine.

Lugha rasmi na lugha za taifa ni Kifaransa (kinachoongoza kwa zaidi ya asilimia 80) na Kiingereza.

Jiografia

Kamerun 
Mpare kwa mlima Kameruni
    Makala kuu: Jiografia ya Kamerun
    Kamerun 
    Mlima Kamerun kutoka Tiko, Mkoa wa Kusini-Magharibi

Maeneo kiutawala

Kameruni imegawiwa katika mikoa (regions) 10 na wilaya (départements) 58.

Mikoa ni:


Ona pia: Orodha ya miji ya Kameruni

Historia

Historia ya awali

Katika karne za BK Wabantu wenye ujuzi wa kilimo na uhunzi walianza uenezi wao kutoka huko kwenda kutawala maeneo mengi ya Afrika ya Kati, Kusini mwa Afrika na Afrika Mashariki.

Wakati wa ukoloni

Kameruni ilikuwa koloni la Ujerumani hadi Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Baada ya Ujerumani kushindwa vita, nchi ikagawiwa kati ya Uingereza na Ufaransa chini ya mamlaka ya Shirikisho la Mataifa kama eneo la kudhaminiwa.

Tangu uhuru hadi leo

Mwaka wa 1960, Wafaransa waliacha Kameruni ikawa nchi huru. Wananchi wa Kameruni ya Kiingereza walipiga kura kuamua kama walitaka kuwa sehemu ya Nigeria au ya Kameruni. Kaskazini wengi walipendelea kukaa Nigeria, hivyo maeneo hayo sasa ni sehemu ya Nigeria. Wananchi wengi wa kusini waliamua wajiunge na Kameruni. Kwa kusudi la kuheshimu tofauti za kiutamaduni kulikuwa na katiba mpya kwenye mwaka 1961 Shirikisho la Jamhuri ya Kameruni.

Tangu 1972 muundo wa nchi ulibadilishwa kuacha mfumo wa shirikisho na kuwa jamhuri ya muungano inayokazia zaidi matumizi ya lugha ya Kifaransa ingawa Kiingereza bado ni moja ya lugha rasmi. Jina la nchi pia likabadilishwa kuwa Jamhuri ya Muungano ya Kameruni mwaka wa 1972. Hapo sehemu ya Wakamerun wanaotumia lugha ya Kiingereza walijisikia kuwa wananyimwa haki zao. Baadaye, mwaka wa 1984 jina likabadilishwa tena kuwa Jamhuri ya Kameruni (kwa Kifaransa République du Cameroun).

Tangu mwaka 2016 upinzani uliongezeka kati ya watu wa magharibi wanaotumia Kiingereza. Harakati hiyo ilijibiwa na serikali na polisi kwa ukali na hii umeleta kuanzishwa kwa wanamgambo wenye silaha wanaoshambulia polisi na jeshi la serikali kuu. Tangu mwaka 2017 wapinzani wamedai uhuru wa sehemu yenye lugha ya Kiingereza wakitangaza wameunda nchi mpya ya "Ambazonia". Serikali iliundwa inayokaa Nigeria; lakini kuna vikundi tofauti ambavyo wanapigana kati yao. Nchi hii haitambuliwi kimataifa. Mwaka 2021 kulikuwa na majadiliano kuhusu amani kati kundi linalojiita serikali ya Ambazonia na serikali ya Kameruni, lakini makundi mengine yaliendelea na mapigano ya silaha.

Siasa

Kamerun 
Rais wa Kameruni Paul Biya (kulia)
    Makala kuu: Siasa za Kamerun

Uchumi

Kamerun 
Majani chai inayotoka Kameruni
    Makala kuu: Uchumi wa Cameroon

Watu

Kamerun 
Yaoundé, mji mkuu wa Kameruni (2003)
Kamerun 
Picha, kaskazini mwa Kameruni
Kamerun 
Ikulu ya sultani wa Bamun kwa Foumban, Mkoa wa Magharibi

Wakazi walikuwa 22,534,532 mwaka 2013, ambao wamegawanyika sawasawa kati ya wanaoishi mijini na wale wa vijijini.

Lugha rasmi ni Kifaransa pamoja na Kiingereza. Hata hivyo wakazi wanaongea pia lugha za makabila yao mengi.

Upande wa dini, 70% ni Wakristo (40% Wakatoliki na 30% Waprotestanti), 18% ni Waislamu, 3% ni wafuasi wa dini asilia za Kiafrika. 6% hawana dini yoyote.

Utamaduni

Kamerun 
Nyumba ya Njem
Kamerun 
Mwanamke wa Maka akienda shamba
Kamerun 
Familia ya Tikar, Kaskazini magharibi
    Makala kuu: Utamaduni wa Kamerun, Muziki wa Kamerun, Mapishi ya Kamerun, na Waandishi wa Kamerun

Elimu

    Makala kuu: Elimu Kamerun

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Kamerun 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Serikali

Habari

Elimu

Uchambuzi

Makabila na koo

Miongozo

Utalii


Nchi za Afrika Kamerun 
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira
Kamerun  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kamerun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Kamerun JiografiaKamerun Maeneo kiutawalaKamerun HistoriaKamerun SiasaKamerun UchumiKamerun WatuKamerun UtamaduniKamerun ElimuKamerun Tazama piaKamerun MarejeoKamerun Viungo vya njeKamerunAfrikaJamhuriMuungano

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SikioIsimuMaadiliViunganishiViwakilishi vya pekeeItikadi kaliSanaa za maoneshoAfrikaMafua ya kawaidaMange KimambiViwakilishi vya idadiWamanyemaMbuniMoses KulolaKichochoMadiniHektariMaudhui katika kazi ya kifasihiNyangumiArudhiHistoria ya TanzaniaNeemaMarekaniNembo ya TanzaniaKongoshoSahara ya MagharibiPunyetoMkataba wa Helgoland-ZanzibarMnyamaNyimbo za jadiMvuaUongoziMohamed HusseinAfro-Shirazi PartyViwakilishi vya kuoneshaChuiRoho MtakatifuNdege (mnyama)Manchester United F.C.VolkenoNdoaGeorge WashingtonKipazasautiMahakama ya TanzaniaBenjamin MkapaHoma ya iniMashineKupatwa kwa JuaInsha ya wasifuNgono zembeJohn Samwel MalecelaInsha ya kisanaaArusha (mji)KumaMsongolaKishazi tegemeziMfumo wa mzunguko wa damuWanyamweziMavaziHifadhi ya Taifa ya NyerereKisaweSoga (hadithi)UgonjwaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaHoma ya matumboUbuddhaUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaMkanda wa jeshiMaskiniMashuke (kundinyota)Kiambishi tamatiMbooUzazi wa mpango kwa njia asiliaKizunguzunguUjuziUjamaa🡆 More