Historia

Historia (kutoka Kigiriki ιστορια, historia; pia tarehe kutoka Kiarabu تاریخ tarih kwa maana ya historia: pia tena mapisi) ni somo kuhusu maisha ya binadamu na utamaduni wao wakati uliopita.

Historia
Maktaba ya Aleksandria, Misri ya kale.

Mara nyingi neno hilo lina pia maana ya maarifa yoyote kuhusu wakati uliopita, yawe au yasiwe maarifa ya watu (kwa mfano "historia ya ulimwengu").

Historia ni hasa mfululizo wa habari za mambo yaliyotokea pamoja na sababu zake.

Binadamu anaziandika ili kuelewa maisha yake, yaani ametokea wapi, amepata mafanikio gani na matatizo gani.

Historia inatufundisha kuishi: kumbukumbu za mambo ya zamani (vita, uhuru, viongozi na mengineyo) zinatuwezesha kuendelea vizuri zaidi.

Wanahistoria wanapata maarifa yao kutoka maandishi ya zamani (hasa kwa historia andishi), kutoka fasihi simulizi na kutoka akiolojia (hasa kwa historia ya awali).

Kurasa zinazohusiana

Tanbihi

Historia  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BinadamuKiarabuMaishaUtamaduniWakati

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BabeliKanisa KatolikiNyati wa AfrikaUpepoTasifidaKombe la Mataifa ya AfrikaPalestinaMoshi (mji)Mkoa wa Unguja Mjini MagharibiReal MadridMbossoMkoa wa MaraMtakatifu PauloMitume na Manabii katika UislamuKiburiWema SepetuFananiHaki za binadamuOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaIstilahiMkoa wa KataviBinadamuHektariUfupishoOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaUchumiMavaziWahangazaViwakilishi vya kuulizaLigi Kuu Uingereza (EPL)Vivumishi ya kuulizaAzimio la ArushaHistoria ya TanzaniaUkoloniCristiano RonaldoMwigizajiMweziMkoa wa ManyaraMkoa wa ArushaStephane Aziz KiDhanaMkoa wa ShinyangaMtandao wa kijamiiFonetikiWairaqwKisimaMkoa wa KageraWahaKupatwa kwa JuaMaskiniJipuKiongoziNenoAlmasiTungo kiraiNomino za pekeeAli Hassan MwinyiSemiMaadiliSayariNabii EliyaMsituBarua rasmiMamlaka ya Mapato ya TanzaniaBaraNgw'anamalundiHali ya hewaMadhehebuBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiUpinde wa mvua🡆 More