Agano Jipya ni sehemu ya pili ya Biblia ya Kikristo, ikifuata Agano la Kale: Agano Jipya limefichika katika lile la Kale, na Agano la Kale limedhihirika katika lile Jipya.
Linakusanya vitabu ambavyo Wakristo wote wanaviheshimu kama vitakatifu na vilivyoandikwa baada ya ujio wa Yesu Kristo hadi mwisho wa wakati wa mitume wake.
Vitabu vyake 27 vinaleta habari zake, za mitume wake na za mwanzo wa Kanisa lake.
Vinatakiwa kusomwa kama kilele cha ufunuo wa Mungu kwa binadamu kadiri ya Historia ya Wokovu.
Jina lilitungwa na nabii Yeremia (Yer 31:30) alipotambua kwamba kwa kiasi fulani lile la mlima Sinai lilikuwa na dosari (Eb 8), lakini Mungu kwa uaminifu wake asingeweza kukubali likome tu.
Vitabu vya Agano Jipya ni kama ifuatavyo (Kwa mabano: kifupi cha kawaida kwa kutaja kitabu hiki).
Kuna maandiko 13 kati ya nyaraka yanayomtaja Mtume Paulo kama mwandishi. Wataalamu wa leo hutofautiana kama kweli nyaraka hizi zote zimeandikwa na Paulo mwenyewe. Kwa jumla saba zimetambuliwa na karibu wataalamu wote kuwa ni maandiko yake. Kuhusu mengine kuna maswali kwa sababu mbalimbali (kwa mfano tofauti za lugha, mkazo tofauti ya mafundisho), na wataalamu wengine hudai ya kuwa labda zimeandikwa na wanafunzi wake au na mwandishi kwa niaba ya Paulo.
Waraka kwa Waebrania (Ebr.) una tabia ya pekee; tangu zamani wengine waliulihesabu kuwa waraka wa Paulo ingawa ndani yake jina lake halitajwi. Leo karibu wote wanasema si ya kwake.
Nyaraka katoliki
Jina "katoliki" halimaanisha madhehebu ya Kiroma, lakini maana asilia ya neno la Kigiriki "katoliki" ambayo inaweza kutafsiriwa pia "kwa watu wote", au "zilizokubaliwa na wote".
Kitabu cha mwisho kinafuata mtindo wa kiapokaliptiko, yaani kinatazama historia kwa jumla kadiri ya imani katika ushindi wa Yesu juu ya shetani na nguvu zote za uovu. Kinaitwa
Brown, Raymond E. (1997). An Introduction to the New Testament. Anchor Bible Reference Library; New York: Doubleday.
Bultmann, Rudolf (1951–1955). Theology of the New Testament, English translation, 2 volumes. New York: Scribner.
von Campenhausen, Hans (1972). The Formation of the Christian Bible, English translation. Philadelphia: Fortress Press.
• Clark, Gordon (1990). "Logical Criticisms of Textual Criticism", The Trinity Foundation: Jefferson, Maryland
Conzelmann, Hans; Lindemann, Andreas (1999). Interpreting the New Testament: An Introduction to the Principles and Methods of New Testament Exegesis, English translation. Peabody, Mass.: Hendrickson.
Dormeyer, Detlev (1998). The New Testament among the Writings of Antiquity, English translation. Sheffield.
Duling, Dennis C.; Perrin, Norman (1993). The New Testament: Proclamation and Parenesis, Myth and History, 3rd edition. New York: Harcourt Brace.
Ehrman, Bart D. (2011). The New Testament: A Historical Introduction to the Early Christian Writings, 5th edition. New York: Oxford University Press.
Goodspeed, Edgar J. (1937). An Introduction to the New Testament. Chicago: University of Chicago Press.
Levine, Amy-Jill; Brettler, Marc Z. (2011). The Jewish Annotated New Testament. Oxford: Oxford University Press.
Koester, Helmut (1995 and 2000). Introduction to the New Testament, 2nd edition, 2 volumes. Berlin: Walter de Gruyter.
Kümmel, Werner Georg (1996). Introduction to the New Testament, revised and enlarged English translation. Nashville: Abingdon Press.
Mack, Burton L. (1995). Who Wrote the New Testament?. San Francisco: HarperSanFrancisco.
Neill, Stephen; Wright, Tom (1988). The Interpretation of the New Testametnt, 1861–1986, new edition. Oxford: Oxford University Press.
Schnelle, Udo (1998). The History and Theology of the New Testament Writings, English translation. Minneapolis: Fortress Press.
Zahn, Theodor (1910). Introduction to the New Testament, English translation, 3 volumes. Edinburgh: T&T Clark.
New Testament Koine Greek Original Side by side with the English (King James) and Russian (Synodal) translation Commentary by the Greek Fathers – Icons from Mount Athos
New Testament GatewayArchived 13 Januari 2020 at the Wayback Machine. Annotated guide to academic New Testament Web resources including not only other Web sites, but articles and course materials
Jewish Studies for ChristiansArchived 9 Desemba 2019 at the Wayback Machine. An Online Study Group exploring the Jewish setting of the early Jesus movement. (An Israeli blog led by Dr. Eliyahu Lizorkin-Eyzenberg).
New Testament Reading Room: Extensive on-line New Testament resources (including reference works, commentaries, translations, atlases, language tools, and works on New Testament theology), Tyndale Seminary
Christianity.com Bible Study ToolsArchived 5 Julai 2008 at the Wayback Machine. For-profit, conservative religious site with links to translations, as well as to mostly out-dated and non-critical commentaries, concordances, and other reference works
Dating the New TestamentArchived 10 Februari 2010 at the Wayback Machine. A compilation of the dates ascribed by various scholars to the composition of the New Testament documents, accompanied by an odd statistical average of the dates
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Agano Jipya kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Agano Jipya, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses. ®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.