Kihispania

Kihispania (español; Kiingereza: Spanish) ni lugha ya kimataifa ambayo ni lugha ya kwanza kwa watu milioni 493; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama lugha ya pili kuna milioni 568 duniani wanaosema vizuri Kihispania.

Kihispania
Kihispania duniani leo.

Historia ya lugha

Asili ya lugha hiyo ni katika nchi ya Uhispania (Ulaya kusini magharibi), lakini kutokana na historia ya ukoloni na ya biashara lugha hiyo imesambaa sana, hasa Amerika ya Kusini na ya Kati.

Lugha iliyozaa Kihispania ni Kilatini cha Waroma wa Kale waliotawala kwa muda mrefu Uhispania. Ndiyo sababu maneno yake yanatokana na Kilatini kwa asilimia 80, lakini pia na Kiarabu kwa asilimia 8.

Kati ya lugha za Kirumi Kihispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale, isipokuwa Kisardinia na Kiitalia.

Nchi zinazotumia Kihispania kama lugha rasmi

Amerika ya Kati na Karibi

Amerika ya Kusini

Afrika

Nchi zenye wasemaji wengi wa Kihispania

  • Nchini Marekani Kihispania ni lugha ya pili baada ya Kiingereza hasa katika majimbo ya Kusini zilizokuwa zamani sehemu za Mexiko.
  • Ufilipino kwa sababu ilikuwa koloni la Uhispania

Viungo vya nje

Tags:

Kihispania Historia ya lughaKihispania Nchi zinazotumia kama lugha rasmiKihispania Nchi zenye wasemaji wengi wa Kihispania Viungo vya njeKihispaniaDunianiKiingerezaLugha ya kwanzaLugha ya piliMilioni

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kinjikitile NgwaleKamusiDaudi (Biblia)KaaKiburiJumuiya ya MadolaLahaja za KiswahiliKen WaliboraUkristo nchini TanzaniaVihisishiFaraoEdward Ngoyai LowassaArudhiMishipa ya damuMshororoLucky DubeBarabaraDubuMitaMofolojiaFalsafaKiswahiliMwanza (mji)Azimio la ArushaMkoa wa LindiKukuMkoa wa RukwaNdege (mnyama)UnyenyekevuUlayaFiston MayeleWagogoNamba ya mnyamaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaJakaya KikweteWayao (Tanzania)KirobotoArsenal FCOrodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoMkoa wa TaboraTreniUzazi wa mpangoHistoria ya UislamuIbadaMnyamaVisakaleMvua ya maweSimba S.C.Tungo sentensiUaminifuMbuga za Taifa la TanzaniaNabii IsayaKitabu cha YeremiaMichezo ya jukwaaniFasihi simuliziNimoniaMichael JacksonMatendo ya MitumeNeymar JrNgw'anamalundiSaratani ya mapafuHuduma ya kwanzaUjerumaniJipuWakaguruAli KibaRita wa CasciaMaishaMnururishoCleopa David MsuyaNabii EliyaUbongoKupatwa kwa MweziKitenzi kikuuMashuke (kundinyota)Wasukuma🡆 More