Kiazi cha kizungu, kiazi ulaya, kiazi mviringo au mbatata ni mmea wa chakula uliomo katika familia ya Solanaceae.
Kiazi cha kizungu (Solanum tuberosum) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mimea ya viazi | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Chakula ni sehemu nene za mizizi yake (kiazi) yenye wanga, vitamini na madini. Sehemu bichi zinazoonekana juu ya ardhi haziliwi ni sumu.
Viazi hivi ni chakula muhimu kimataifa ni chakula kikuu katika nyingi. Asili ya mmea iko Amerika ya Kusini ilipoteuliwa na kukuzwa na Maindio. Wahispania walikikuta Amerika na kuisambaza Ulaya. Hata hivyo wakati mwingine huitwa "kiazi ulaya" au "kiazi kizungu" kwa sababu imefika Afrika kupitia Ulaya.
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiazi cha kizungu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kiazi cha kizungu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.