Java

Java ni kisiwa cha Indonesia.

Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Sumatra.

Java
Ramani ya Java.
Java
Mahali pake.

Eneo la kisiwa ni km² 138,794.

Mwaka wa 2014 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa milioni 143. Watu wakaao kisiwani mwa Java huongea lugha mbalimbali, hasa Kijava, Kisunda na Kimadura.

Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Jakarta.

Java Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

IndonesiaKisiwaKusiniMasharikiSumatra

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UandishiHarmonizeMaudhuiMhusika (fasihi)AlfabetiVitendawiliNguruwe-kayaPaka-kayaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMkwawaJamhuri ya Watu wa ZanzibarKitenziMandhariDagaaBiblia ya KikristoKichochoKalenda ya KiislamuAlmasiSelemani Said JafoMbwana SamattaUkwapi na utaoHistoriaZuchuC++UkoloniOrodha ya nchi kufuatana na wakaziSexLigi Kuu Uingereza (EPL)Uundaji wa manenoMaumivu ya kiunoHistoria ya ZanzibarTamthiliaMsumbijiCristiano RonaldoUtafitiBungeMaajabu ya duniaUaFasihi andishiKipindupinduUhifadhi wa fasihi simuliziMillard AyoMeja JeneraliMikoa ya TanzaniaUlemavuSinagogiUlumbiMfumo wa mzunguko wa damuIntanetiMajira ya baridiHoma ya mafuaMaigizoMilango ya fahamuMbeya (mji)WachaggaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)TasifidaBloguKengeMjasiriamaliMbossoVivumishi vya sifaElibariki Emmanuel KinguMungu ibariki AfrikaMtandao pepe binafsiHaki za watotoAkili ya binadamuIsraeli ya KaleChelsea F.C.Julius Nyerere🡆 More