Daktari

Daktari (au dokta; wingi wake unaundwa kwa kutanguliza ma-) ni neno lenye asili ya Kilatini (doctor) lililoingia Kiswahili kwa kupitia Kiingereza.

Hutumiwa kwa maana mbili:

Daktari
Kielelezo kinacho wakirisha daktari

1) Mtaalamu aliyepata mafunzo maalum kwenye chuo kikuu cha kutibu maradhi ya wagonjwa. Mtu wenye ujuzi wa kutibu anaitwa pia mganga (wa), tabibu (ma). Daktari humtibu mgonjwa kwa kutumia sindano, kumtundikia dripu n.k. baada ya kumpima baadhi ya vitu kama:

  • Kumpima damu
  • Kumpima mapigo ya moyo n.k. Maranyingi daktari hufanya kazi yake katika sehemu maalumu iitwayo Hospitali.

2) Kwa kufuata tabia za lugha nyingine daktari hutumiwa pia kama jina la heshima kwa mtu aliyepata shahada ya uzamivu au "PhD" ambayo ni shahada ya juu kabisa.

Picha

Daktari  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daktari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AsiliKiingerezaKilatiniKiswahiliNeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuWilaya za Tanzania 4Wilaya za TanzaniaMkoa wa MbeyaJinsiaOrodha ya milima ya AfrikaDawa za mfadhaikoMatiniNembo ya TanzaniaMwaka wa KanisaUbadilishaji msimboMizimuMaghaniMendeMapinduzi ya ZanzibarUislamuAbedi Amani KarumeNdovuShengMmeng'enyoKombe la Mataifa ya AfrikaBaraza la mawaziri TanzaniaKamusiNuktambiliVisakaleKomaKondomu ya kikeWajitaAsili ya KiswahiliHarusiPalestinaBendera ya KenyaMaambukizi nyemeleziWaziri wa Mambo ya Ndani (Tanzania)Tendo la ndoaWaduduMtandao wa kijamiiMshororoJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaSemiMkoa wa TangaNahauPijiniDuniaMafua ya kawaidaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaRushwaHisiaUzazi wa mpangoMapambano ya uhuru TanganyikaPaa (maana)Global Positioning SystemSilabiVasco da GamaLionel MessiManchester CityMfumo wa upumuajiMnara wa BabeliDemokrasiaKaaUgonjwa wa uti wa mgongoViwakilishi vya -a unganifuWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiZeruzeruBaraIsimujamiiUaRoho MtakatifuSimbaBahari ya HindiLugha fasahaKoffi OlomideUchawi🡆 More