Connecticut ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani.
Connecticut Nutmeg State | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Hartford | ||
Eneo | |||
- Jumla | 14,357 km² | ||
- Kavu | 12,548 km² | ||
- Maji | 1,809 km² | ||
Tovuti: http://www.ct.gov/ |
Connecticut ilikuwa kati ya majimbo zilizoasi dhidi ya Uingereza mwaka 1776 na kuunda nchi mpya ya Marekani tangu 1778.
Imepakana na Massachusetts, Rhode Island na New York. Iko kwenye mwanbao wa Atlantiki. Mji mkuu ni Hartford na mji mkubwa ni Bridgeport. Jimbo lina wakazi 3,501,252 (2008) wanaokalia eneo la kilomita za mraba 14,356.
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Connecticut kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Connecticut, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.