17 Juni: Tarehe

Tarehe 17 Juni ni siku ya 168 ya mwaka (ya 169 katika miaka mirefu).

Mei - Juni - Jul
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Mpaka uishe zinabaki siku 197.

Matukio

  • 1789 - wawakilishi wa tabaka la tatu katika bunge la Ufaransa wanajitangaza kuwa "bunge la kitaifa", mwanzo wa Mapinduzi ya Ufaransa

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Blasto na Diogene, Isauri, Inosenti na wenzao, Nikandro na Marsiano, Antidi wa Besancon, Ipasi wa Bitinia, Hervei, Aviti wa Orleans, Ranieri wa Pisa, Teresa wa Ureno, Petro Da n.k.

Viungo vya nje

17 Juni: Matukio, Waliozaliwa, Waliofariki 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
17 Juni: Matukio, Waliozaliwa, Waliofariki  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 17 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

17 Juni Matukio17 Juni Waliozaliwa17 Juni Waliofariki17 Juni Sikukuu17 Juni Viungo vya nje17 JuniMwakaSiku

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WangoniHistoria ya AfrikaDuniaMtakatifu PauloMuungano wa Madola ya AfrikaKipepeoBaruaMlongeFasihi andishiMaana ya maishaManchester CityMajeshi ya Ulinzi ya KenyaRushwaKishazi tegemeziMartin LutherHistoria ya IranTreniViganoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuVipaji vya Roho MtakatifuMnara wa BabeliShambaHistoria ya KiswahiliZodiakiViunganishiAmina ChifupaJulius NyerereLigi Kuu Tanzania BaraJamhuri ya Watu wa ZanzibarAfrikaBob MarleyPemba (kisiwa)Maambukizi ya njia za mkojoBenjamin MkapaWhatsAppMapenziMuundo wa inshaBloguKinyongaJinsiaMichael JacksonTanzaniaUajemiMofolojiaHarmonizeMfumo wa upumuajiMorokoAlfabetiUgonjwa wa uti wa mgongoAgano JipyaAsili ya KiswahiliTamathali za semiMkoa wa MwanzaWahaMkwawaSemantikiKiraiMpira wa kikapuNomino za wingiBiashara ya watumwaSakramentiLugha ya isharaTupac ShakurMbossoKifaaTambikoKiongoziHussein KaziMalariaJumuiya ya Afrika MasharikiUtafitiSiasaUkwapi na utaoPandaMaliasiliWahangazaUtamaduni wa Kitanzania🡆 More