Kisiwa ni eneo la nchi kavu kati ya bahari, ziwa au mto linalozungukwa na maji wakati wote.
Ukubwa wake hautoshi kukifanya kiitwe "bara".
Visiwa vilivyo karibu kama kundi mara nyingi huitwa "funguvisiwa".
Tofauti kati ya kisiwa kikubwa na bara dogo limeamuliwa kati ya
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kisiwa, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.