Kireno

Kireno (Português - tamka purtuGESH) ni lugha ya Kirumi inayozungumzwa hasa nchini Ureno na Brazil, lakini pia Kusini mwa Afrika, Asia Kusini na Asia Kusini-Mashariki.

Kireno
Nchi penye Kireno kama lugha rasmi

Imekuwa lugha ya kimataifa kutokana na historia ya ukoloni ya Ureno ikiwa na wasemaji wa lugha ya kwanza milioni 210-215; pamoja na wasemaji wa lugha ya pili kuna watu milioni 270 duniani wanaoelewana kwa Kireno, hivyo ni lugha ya 5 au ya 6 ulimwenguni.

Kutokana na historia ya ukoloni Kireno kimepatikana katika nchi zifuatazo:

Kireno kama lugha rasmi

Lugha ya kieneo

Historia ya lugha

Kireno ni moja kati ya lugha za Kirumi maana yake kimetokana na Kilatini cha Dola la Roma lililotawala eneo la Ureno kwa karne nyingi.

Ni karibu hasa na Kigalicia kinachozungumzwa katika Hispania ya Kaskazini.

Wareno waliacha lugha yao katika makoloni yao. Leo hii idadi ya wasemaji katika Ureno ni milioni 10 tu - idadi kubwa kabisa wako nje ya Ureno, hasa Brazil.

Kireno kilisambaa zaidi katika karne ya 20 kwa sababu Wareno waliondoka Ureno kutafuta kazi katika nchi nyingi za Ulaya. Vilevile kuna Wabrazil na Waangola waliotoka kwao kuhamia penginepo wakienda na lugha yao.

Viungo vya nje

Kireno  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kireno kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Kireno kama lugha rasmiKireno Lugha ya kieneoKireno Historia ya lughaKireno Viungo vya njeKirenoAsia KusiniAsia Kusini-MasharikiBrazilKusini mwa AfrikaLugha za KirumiUreno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kishazi huruWayao (Tanzania)KipandausoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuKitenziJokofuKigaweSemantikiMbaraka MwinsheheWachaggaMapafuKanuni ya Imani ya MitumeHoma ya mafuaMahakamaSamakiMobutu Sese SekoVivumishi vya sifaKaaMaarifaHistoria ya KanisaTanganyika (ziwa)Meno ya plastikiFasihiShetaniMohammed Gulam DewjiJokate MwegeloKiwakilishi nafsiJiografia ya TanzaniaTungo kiraiUpendoOrodha ya nchi za AfrikaBorussia DortmundKanga (ndege)Uhuru wa TanganyikaNyasa (ziwa)Vita Kuu ya Pili ya DuniaUongoziUhindiTenziMkoa wa MtwaraMajira ya baridiMikoa ya TanzaniaMoses KulolaMaghaniMajigamboWimboMwakaDiniMapenzi ya jinsia mojaJogooAlfabetiShahawaSanaaSikukuuMwigizajiMapenziNgonjeraUhakikiKoloniPijini na krioliUkristo nchi kwa nchiKombe la Mataifa ya AfrikaRufiji (mto)Mbeya (mji)Mafua ya kawaidaMuzikiVipera vya semiBarack ObamaUajemiVokali🡆 More