Euklides

Euklides (takr.

365 KK - 300 KK, kwa Kigiriki Εὐκλείδης, Eukleidēs, yaani Mashuhuri, kwa Kiingereza Euclid) alikuwa mwanahisabati wa Misri ya Kale. Anaitwa pia Euklides wa Aleksandria ili kumtofautisha na Euklide wa Megara, akihesabiwa pia kati ya wataalamu wa Ugiriki ya Kale maana mji wa Aleksandria nchiniMisri iliundwa na Wagiriki na kukaliwa na Wagiriki hasa kwa karne nyingi, hivyo inahesabiwa zaidi kama sehemu ya utamaduni wa Ugiriki kuliko Misri.

Euklides
Euklides.

Anaitwa mara nyingi "Baba wa Jiometria".

Maisha

Habari zake hazina uhakika kamili kuhusu miaka ya maisha yake lakini anaaminiwa alitokea katika familia ya Kigiriki akaishi huko Aleksandria wa Misri.

Hakuna mengi yanayojulikana kwa hakika juu ya maisha yake. Huaminiwa ya kwamba alizaliwa Aleksandria mnamo 365 KK akapata mafunzo ya juu kwenye akademia ya Athens, Ugiriki.

Kazi yake alifanya wakati wa Farao Ptolemaio I (323 KK–283 KK) akifundisha hisabati.

Alipata kuwa maarufu kwa njia ya vitabu vyake 13 vinavyofundisha hisabati vilivyoitwa Στοιχεῖα stoicheia au "Misingi". Tafsiri za vitabu hivyo zilitumiwa hadi karne ya 19.

Tanbihi

Marejeo

Euklides 
Euclides, 1703

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Euklides 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Euklides  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Euklides kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Euklides MaishaEuklides TanbihiEuklides MarejeoEuklides Marejeo mengineEuklides Viungo vya njeEuklides300 KK365 KKAleksandriaKarneKigirikiKiingerezaMisriMisri ya KaleMjiMwanahisabatiUgiriki ya KaleUtamaduniWataalamu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UrenoWilaya za TanzaniaHistoria ya KanisaSentensiKarafuuDayolojiaMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaBenki ya DuniaMatumizi ya LughaJamhuri ya Watu wa ZanzibarMkoa wa PwaniUtataVielezi vya namnaLugha rasmiKadi za mialikoFonimuJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaKalenda ya KiislamuVirusi vya UKIMWIUvuviPunyetoKilwa KisiwaniVita vya KageraBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiViwakilishi vya sifaNimoniaPasakaViwakilishiNomino za pekeeMadiniAlama ya uakifishajiZama za ChumaWagogoMkoa wa ShinyangaChakulaUmoja wa AfrikaMajigamboMisaItifakiMagonjwa ya machoMishipa ya damuOrodha ya Magavana wa TanganyikaMkoa wa ManyaraOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaMvuaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMadawa ya kulevyaNeemaNdiziSensaKanisa KatolikiOrodha ya Marais wa TanzaniaFamiliaMabantuNomino za dhahaniaMtakatifu PauloSiasaMgonjwaInshaUfahamuLatitudoNambaSarufiOrodha ya nchi kufuatana na wakaziBaraUrusiRoho MtakatifuKaaSilabiUnyevuangaUislamuViwakilishi vya idadiMikoa ya Tanzania🡆 More