Belarus

Belarus (kwa Kibelarus: Беларусь (Kikyrili) au Biełaruś (Kilatini); kwa Kirusi:Белоруссия ) ni nchi ya Ulaya ya Mashariki inayopakana na Urusi, Ukraine, Poland, Lithuania na Latvia.

Belarus
Belarus
Ramani ya Belarus

Mji mkuu ni Minsk na miji mingine ni pamoja na Brest, Grodno, Gomel, Mogilev na Vitebsk.

Idadi ya wakazi inapungua: ni watu 9,498,700 (2016).

Historia

Belarus haikuwahi kuwa nchi ya pekee hadi karne ya 20. Maeneo yake yalikuwa chini ya himaya mbalimbali kama vile Poland, Lithuania na Urusi. Belarus ilikuwa kitengo cha Umoja wa Kisovyet tangu 1919/1922 hadi 1991.

Wakazi na utamaduni

Wakazi walio wengi ni Wabelarus (83.7%) ambao wanaongea ama Kibelarus au Kirusi ambavyo vyote viwili ni lugha rasmi. Lugha hizi mbili zina asili moja. Takriban 11% za wakazi ni Warusi.

Kuna pia vikundi vidogo vinavyotumia lugha za pekee kama vile Kipoland, Kiukraine, Kilatvia, Kilituanya na nyingine.

Walio wengi ni wafuasi wa Ukristo katika Makanisa ya Kiorthodoksi (48.3%) na katika Kanisa Katoliki (7.1%).

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya Nje

Belarus  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Belarus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Belarus HistoriaBelarus Wakazi na utamaduniBelarus Tazama piaBelarus TanbihiBelarus Viungo vya NjeBelarusKibelarusKikyriliKilatiniKirusiLatviaLithuaniaPolandUkraineUlaya ya MasharikiUrusi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BaraBahariOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuSilabiUshairiNdege (mnyama)Wizara za Serikali ya TanzaniaOrodha ya Magavana wa TanganyikaKhadija KopaUyahudiAngahewaBendera ya KenyaMaumivu ya kiunoMtandao wa kijamiiUsultani wa ZanzibarViunganishiHadhiraBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiMwanamkeWazigulaMiundombinuWaluguruIniKinjikitile NgwaleHekimaDaudi (Biblia)Vivumishi ya kuulizaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaHurafaPichaHadithi za Mtume MuhammadMkwawaHistoria ya WasanguAunt EzekielUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiKupatwa kwa MweziMamlaka ya Mapato ya TanzaniaJamhuri ya Watu wa ChinaKiongoziBinamuShangaziOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaKalenda ya KiislamuTungoMwana wa MunguUkuaji wa binadamuVivumishi vya sifaTabianchi ya TanzaniaMashineMashariki ya KatiUkimwiNyimbo za jadiKamusi ya Kiswahili sanifuMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaKitenzi kikuuMfumo wa mzunguko wa damuKongoshoUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaFalme za KiarabuPonsyo PilatoDhanaKiarabuKiambishi tamatiKamusi za KiswahiliUkristo nchini TanzaniaDubuChuiShinikizo la juu la damuLugha ya kwanzaMaradhi ya zinaaYoung Africans S.C.Utamaduni wa KitanzaniaUmoja wa AfrikaMkoa wa LindiMkoa wa Kagera🡆 More