One Hundred And One Dalmatians

One Hundred and One Dalmatians (kwa Kiswahili: Mijibwa Mia Moja na Moja) ni filamu ya katuni ya mwaka wa 1961 kutoka Marekani.

Ilitayarishwa na Walt Disney na inatokana na kitabu cha Dodie Smith chenye jina sawa na hili la filamu hii. Hii ni filamu ya kumi na saba kutolewa katika mfululizo wa filamu za Disney almaarufu kama Walt Disney Animated Classics. Filamu ilitolewa kwa mara ya kwanza mnamo tarehe 25 Januari 1961.

One Hundred and One Dalmatians
One Hundred And One Dalmatians
Posta ya filamu
Imeongozwa na Clyde Geronimi
Hamilton Luske
Wolfgang Reitherman
Imetayarishwa na Walt Disney
Imetungwa na Dodie Smith (novel "The One Hundred and One Dalmatians"
Bill Peet (hadithi)
Nyota Rod Taylor
Cate Bauer
Betty Lou Gerson
Ben Wright
Lisa Davis
Martha Wentworth
Muziki na George Bruns
Imesambazwa na Buena Vista Pictures
Imetolewa tar. 25 Januari 1961
Ina muda wa dk. Dk. 79
Lugha Kiingereza
Bajeti ya filamu $4,000,000 USD (makisio)
Mapato yote ya filamu $215,880,014
Ikafuatiwa na 101 Dalmatians II: Patch's London Adventure (2003)

Washiriki

  • Rod Taylor kama Pongo
  • Cate Bauer kama Perdita
  • Betty Lou Gerson kama Cruella De Vil; Miss Birdwell
  • Ben Wright kama Roger Radcliffe
  • Lisa Davis kama Anita Radcliffe
  • Martha Wentworth kama Nanny
  • Frederick Worlock kama Horace Badun; Inspector Craven
  • J. Pat O'Malley - Jasper Badun; Colonel
  • Tudor Owen kama Towser
  • Tom Conway kama Quizmaster; Collie
  • George Pelling kama Danny
  • Thurl Ravenscroft kama Captain
  • David Frankham kama Sgt. Tibbs
  • Ramsay Hill kama Mtangazaji wa TV; Labrador
  • Queenie Leonard kama Princess
  • Marjorie Bennett kama Duchess
  • Barbara Baird kama Rolly
  • Mickey Maga kama Patch
  • Sandra Abbott kama Penny
  • Mimi Gibson kama Lucky
  • Bill Lee kama Roger (singing)

Marejeo

Viuongo vya nje

One Hundred And One Dalmatians 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
One Hundred And One Dalmatians  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu One Hundred and One Dalmatians kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

196125 JanuariFilamuKatuniKiswahiliMarekaniMwakaTareheWalt DisneyWalt Disney Animated Classics

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa MtwaraManchester CitySimbaOrodha ya hospitali nchini TanzaniaYoung Africans S.C.UleviChawaMkoa wa NjombeLigi Kuu Tanzania BaraVivumishi vya -a unganifuWagogoKuhaniZuchuZiwa ViktoriaHistoria ya AfrikaKanuni ya Imani ya MitumeKunguniJiografia ya TanzaniaRohoKengeZabibuUsaniiBongo FlavaRiwayaMtakatifu PauloMamaUandishiMwigizajiAina za manenoVieleziPaul MakondaVihisishiMamba (mnyama)Ukomeshaji wa Biashara ya WatumwaItifakiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoTaswira katika fasihiJulius NyerereOrodha ya mapapaLugha ya maandishiTabianchiMazishiMzabibuWikipedia ya KiswahiliMsituTanganyikaShahawaOrodha ya Marais wa BurundiMagonjwa ya kukuWakingaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaAfyaMaishaMartin LutherUnyenyekevuKiunguliaAgano JipyaArsenal FCVielezi vya mahaliBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiCoventry City F.C.Azimio la ArushaMapinduzi ya ZanzibarKunguruKitenzi kishirikishiMitume wa YesuDaudi (Biblia)UfinyanziAwilo LongombaKlamidiaEdward SokoineMsalaba wa YesuMajina ya Yesu katika Agano JipyaMchwa🡆 More