Html

HTML ni kifupi cha HyperText Markup Language au Lugha ya kutunga matini ya mtandao.

Ni aina ya lugha ya matinikivo (hypertext) inayotumiwa ili wavuti uonekane mtandaoni jinsi inavyotakiwa. HTML ni lugha ya matinikivo inayotumiwa zaidi kwenye wavuti wa walimwengu (WWW).

Ni mchanganyiko wa lugha ya kawaida na misimbo ya pekee inayoieleza tarakilishi kuonyesha maandishi, picha au rangi kwa namna fulani jinsi inavyotakiwa.

Programu ya kivinjari (au kisakuzi - "browser") kama Firefox au Internet Explorer inasoma lugha hii ya HTML inapoambiwa jinsi gani kuonyesha ukurasa. Ukurasa wa wavuti unaweza kuonyesha maandishi, viungo, picha au hata sauti na video.

Misimbo

HTML hutumia amri za pekee zinazoitwa msimbo ("tag"). Misimbo hii hutokea mara nyingi kwa jozi: msimbo funguzi unaambia kivinjari kuanza kazi fulani, na msimbo funga unasema kazi hii inakwisha.

Kuna misimbo mingi tofauti na kila mmoja una kazi yake maalumu.

Misimbo funguzi huwa na neno la kuamrisha ndani ya vibano pembe. Kwa mfano "title" ni amri ya kuonesha maneno kama kichwa. Sasa ili yaonekane kama amri hufungwa ndani ya vibano pembe Html - Html - Wiki Kiswahili (Swahili).

Mfano

Yafuatayo ni mfano wa ukurasa wa HTML:

 <html>   <head>     <meta charset="UTF-8">     <title>Hiki ni kichwa cha ukurasatitle>   head>   <body>     <p>Hii ni ibara ndani ya maandiship>   body> html> 

Viungo vya Nje

Tags:

Wavuti wa walimwengu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Wema SepetuWikipediaNdoaKilimanjaro (Volkeno)Nomino za dhahaniaDjigui DiarraMungu ibariki AfrikaNgome ya YesuDini nchini TanzaniaVita vya KageraShengTanzaniaOrodha ya mito nchini TanzaniaWachaggaIdi AminLugha ya taifaChuraUaSentensiMjombaMkoa wa IringaWiki FoundationKuhaniMtoto wa jichoOrodha ya kampuni za TanzaniaAbedi Amani KarumeMtakatifu PauloTreniSumakuMachweoWairaqwKunguruKuraniUkuaji wa binadamuMkoa wa Unguja Mjini MagharibiUtapiamloChris Brown (mwimbaji)UshogaKisononoTenziVatikaniNimoniaDodoma (mji)Paul MakondaUmoja wa Muungano wa AfrikaMuungano wa Madola ya AfrikaNgekewaMawasilianoTaswira katika fasihiDoto Mashaka BitekoSenegalHistoria ya KenyaAgano la KaleKrioliMohamed HusseinHistoria ya UislamuJuma kuuMimba kuharibikaIntanetiEdward Ngoyai LowassaFacebookTungo kiraiVivumishiMkoa wa TaboraNduguBawasiriMazingiraIsimilaKilimoMtandao wa kompyutaRiwayaSamia Suluhu HassanWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMitume na Manabii katika UislamuAfrikaFamilia🡆 More