Michael Jordan: Mchezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani na mfanyabiashara (amezaliwa 1963)

Michael Jeffrey Jordan (pia anajulikana kwa jina lake la utani, MJ; alizaliwa 17 Februari 1963) ni mchezaji mstaafu wa mpira wa kikapu wa Marekani, mfanyabiashara, na mmiliki mkuu na mwenyekiti wa Hornet Charlotte wa Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani (NBA).

Michael Jordan: Mchezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani na mfanyabiashara (amezaliwa 1963)
Michael Jordan
Michael Jordan: Mchezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani na mfanyabiashara (amezaliwa 1963)
Jordan Aprili 2014

Jordan alicheza misimu 15 katika NBA akiwa Chicago Bulls na Washington Wizards. Historia yake kwenye tovuti ya NBA inasema: "Kwa kulazimisha, Michael Jordan ni mchezaji mkubwa wa mpira wa kikapu kwa wakati wote".

Jordan alikuwa mmojawapo ya wanariadha wa soko la kizazi chake na alionekana kuwa muhimu katika kuendeleza NBA duniani kote katika miaka ya 1980 na miaka ya 1990.

Jordan alicheza mpira wa kikapu wa vyuoni kwa misimu mitatu chini ya kocha Dean Smith akiwa na North Carolina Tar Heels.Akiwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza alikuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Tar Heels ambayo ilichukuwa ubingwa mnamo 1982.

Marejeo

Michael Jordan: Mchezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani na mfanyabiashara (amezaliwa 1963)  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Jordan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

17 Februari1963Chama cha Mpira wa Kikapu MarekaniJinaMarekaniMchezajiMfanyabiasharaMpira wa kikapuMwenyekitiNBA

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KontuaHali ya hewaMnururishoSexMohammed Gulam DewjiWikipedia ya KiswahiliHerufi za KiarabuElimuMatumizi ya LughaBungeInsha za hojaKumaUtataMaktabaArusha (mji)SikioMbuyuHoma ya matumboMahakama ya TanzaniaMethaliMkoa wa ManyaraJulius NyerereKenyaMkwawaChakulaNduniDiamond PlatnumzSaratani ya mlango wa kizaziUandishi wa barua ya simuJuxUkristo barani AfrikaMapambano kati ya Israeli na PalestinaKitenzi kikuu kisaidiziOrodha ya vitabu vya BibliaMhusika (fasihi)DamuUzalendoMimba za utotoniItikadi kaliKamusi za KiswahiliMuhammadKataKiambishi awaliUchimbaji wa madini nchini TanzaniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaJokofuWabunge wa kuteuliwaAfrika Mashariki 1800-1845Maumivu ya kiunoDayolojiaSentensiVielezi vya mahaliTungoTupac ShakurNgoma (muziki)Lady Jay DeePaka (maana)Mkoa wa RuvumaUlumbiShambaMachweoMtaalaSalaKinjikitile NgwaleAjuzaVieleziPundaNelson MandelaSemiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaWahangazaBahari ya Hindi🡆 More