Sydney

Sydney ni mji wa pwani ya mashariki katika nchi ya Australia.

Sydney ni mji mkubwa wa New South Wales. Takribani watu milioni 4 wanaishi katika mji wa Sydney na ndio mji mkubwa kabisa nchini Australia.

Sydney
Jumba la Sanaa la Sydney


Sydney
Sydney is located in Australia
Sydney
Sydney
Majiranukta: 33°51′35″S 151°12′40″E / 33.85972°S 151.21111°E / -33.85972; 151.21111
Majiranukta: 33°51′35.9″S 151°12′40″E / 33.859972°S 151.21111°E / -33.859972; 151.21111
AEST (UTC)

Mji uligunduliwa mwaka 1788 na Arthur Phillip, aliyekuwa ofisa wa Navy Royal ya Uingereza, na mji ukawa kama sehemu ya wafungwa wa Kiingereza na Kiayalendi.

The Rocks, ni sehemu mojawapo katika mji wa Sydney, ndio ilikuwa sehemu ya kwanza kuwa mji wenye mvuto katika Australia. Sasa imekuwa sehemu yenye mandhari nzuri ya bandari na ni sehemu pa kujipatia kula yaani kuna mgahawa mkubwa.

Panorama

Muonekano wa Sydney kutokeaMnara wa Sydney

Viungo vya nje

Sydney 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Sydney 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Sydney  Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sydney kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AustraliaMasharikiMilioniMjiNew South WalesPwani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Joseph Sinde WariobaAngahewaKenyaUnyanyasaji wa kijinsiaKiambishi awaliMajeshi ya Ulinzi ya KenyaJulius NyerereMkoa wa DodomaLafudhiHaki za binadamuFutiBenki ya DuniaMshororoMbuyuLuhaga Joelson MpinaVieleziDhanaUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015MsituDhima ya fasihi katika maishaLionel MessiIsimujamiiAfrikaMatendo ya MitumeOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaRamaniMofimuAnthropolojiaUbunifuWhatsAppMapinduzi ya ZanzibarItikadiUmoja wa KisovyetiVihisishiRwandaHistoria ya AfrikaUkristoFalme za KiarabuPasaka ya KiyahudiChawaRitifaaHafidh AmeirTiba asilia ya homoniBiblia ya KikristoDola la RomaKinyongaWilaya ya IlalaMilaWikipedia ya KiswahiliKisononoOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaVielezi vya wakatiNomino za kawaidaP. FunkJumuiya ya MadolaMichezo ya watotoAustraliaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiMjasiriamaliSakramentiTanzaniaMuunganoMkataba wa Helgoland-ZanzibarJipuShengManchester CityUturukiNyotaUjerumaniMuundo wa inshaAntibiotikiMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaHussein KaziBongo Flava🡆 More