John Maynard Keynes (* 5 Juni 1883 - † 21 Aprili 1946) alikuwa mtaalamu wa hisabati na uchumi kutoka nchini Uingereza.
Yeye ni maarufu kwa mafundisho yake juu ya uchumi yaliyo na athira kubwa katika siasa ya kiuchumi katika nchi nyingi.
Katika nadharia yake aliandika ya kwamba uchumi wa soko huria peke yake hauelekei kumpa kila mtu kazi. Hapa alisema ya kwamba ni wajibu wa serikali kuingilia kati na kusukuma uchumi kwa kuingiza pesa katika mzunguko wa kiuchumi.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article John Maynard Keynes, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.