Saksonia ya chini (Kijerumani:Niedersachsen) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 7,9 kwenye eneo la 47 609 km².
Saksonia ya chini imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine Kaskazini - Westfalia, Hesse, Saksonia-Anhalt, Mecklenburg-Pomerini, Schleswig-Holstein, Hamburg na Bremen.
Miji mikubwa ni pamoja na Hannover, Braunschweig, Göttingen, Oldenburg na Wolfsburg.
Elbe na Weser ni mito muhimu zaidi.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saksonia Chini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Baden-Württemberg • Bavaria (Bayern) • Berlin • Brandenburg • Bremen • Hamburg • Hesse (Hessen) • Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) • Saksonia Chini (Niedersachsen) • Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) • Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) • Saar (Saarland) • Saksonia (Sachsen) • Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) • Schleswig-Holstein • Thuringia (Thüringen) |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Saksonia Chini, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.