Rhine-Palatino

Rhine-Palatino (Kijerumani: Rheinland-Pfalz) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 4,0 kwenye eneo la 19,847 km².

Mji mkuu ni Mainz. Waziri mkuu ni Maria Luise „Malu“ Dreyer (SPD).

Rhine-Palatino
Mahali pa Rhine-Palatino katika Ujerumani
Rhine-Palatino
bendera ya Rhine-Palatino

Jiografia

Rhine-Palatino imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Rhine Kaskazini-Westfalia, Hesse, Baden-Württemberg na Saarland.

Miji mikubwa ni pamoja na Mainz, Ludwigshafen, Koblenz na Trier.

Rhine na Mosel ni mito muhimu zaidi.

Picha za Rhine-Palatino

Tovuti za Nje

Rhine-Palatino 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Rhine-Palatino  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rhine-Palatino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Majimbo ya Ujerumani
Rhine-Palatino 
Baden-WürttembergBavaria (Bayern)BerlinBrandenburgBremenHamburgHesse (Hessen)Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern)Saksonia Chini (Niedersachsen)Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen)Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz)Saar (Saarland)Saksonia (Sachsen)Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt)Schleswig-HolsteinThuringia (Thüringen)

Tags:

KijerumaniMainzSPDUjerumani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KinywajiMuundoChelseaKichochoNguzo tano za UislamuToharaMapambano ya uhuru TanganyikaMadiniWanyamaporiPasakaHoma ya matumboHistoria ya BurundiHadithiLigi ya Mabingwa AfrikaSintaksiWilaya za TanzaniaUkanda wa GazaHorusSilabiMatumizi ya LughaAzimio la ArushaTabianchiDawatiKiambishi tamatiUkristoYesuUbongoInsha ya wasifuJokofuUtamaduniMhusika (fasihi)Mtakatifu MarkoOrodha ya Marais wa MarekaniKibu DenisMaudhuiMartha MwaipajaHistoria ya IranNabii IsayaMajigamboUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaPesaPaul MakondaAli KibaGhanaMalebaArudhiMungu ibariki AfrikaHistoria ya KiswahiliElimuKipepeoAfrika Mashariki 1800-1845Zana za kilimoMwakaMfumo wa nevaMohamed HusseinMkoa wa MbeyaUgonjwa wa uti wa mgongoMuda sanifu wa duniaLughaLatitudoNzigeNeemaMnyoo-matumbo MkubwaWahayaHistoria ya ZanzibarVielezi vya mahaliCleopa David MsuyaKunguniViwakilishi vya idadiMuunganoPunyeto🡆 More