London ni mji mkuu wa Uingereza na mji mkubwa wa nchi hii wenye wakazi milioni 7.5.
Kwenye rundiko la mji idadi ya watu ni karibu milioni 14.
London | |
Mahali pa mji wa London katika Uingereza | |
Majiranukta: 51°30′28″N 00°07′41″W / 51.50778°N 0.12806°W | |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
---|---|
Idadi ya wakazi (2007) | |
- Wakazi kwa ujumla | 7,556,900 |
Tovuti: http://www.london.gov.uk/ |
London ni mahali muhimu kwa biashara na benki kimataifa. Jiji la London ndilo linalopokea watalii wengi zaidi ulimwenguni. Uwanja wa ndege wa Heathrow unapokea wasafiri wengi zaidi kushinda mahali popote duniani.
London ina watu wa kutoka tamaduni mbalimbali, dini tofautitofauti, na zaidi ya lugha 300 huzungumzwa jijini London.
Mji umepambwa na majengo mazuri kama makumbusho, makanisa na majumba yanayovuta watalii wengi kila mwaka.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu London kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article London, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.