Kinorwei (Kinorwei: norsk) ni lugha ya Kigermanik ya Kaskazini katika jamii ya lugha za Kihindi-Kiulaya.
Kinorwei | ||
---|---|---|
norsk | ||
Pronunciation | [nɔʂk] | |
Inazungumzwa nchini | Norwei | |
Jumla ya wazungumzaji | 4,700,000 | |
Familia ya lugha | Lugha za Kihindi-Kiulaya
| |
Standard forms | Bokmål Nynorsk | |
Mfumo wa uandikaji | Alfabeti ya Kilatini | |
Hadhi rasmi | ||
Lugha rasmi nchini | Norwei | |
Hurekebishwa na | Språkrådet | |
Misimbo ya lugha | ||
ISO 639-1 | no | |
ISO 639-2 | nor | |
ISO 639-3 | nor | |
Note: This page may contain IPA phonetic symbols in Unicode. |
Kinorwei kinasemwa na watu 4,700,000 hivi, na ni lugha rasmi nchini Norwei.
Kinorwei, Kiswidi na Kidenmark vinavyoitwa lugha za Skandinavia ya bara vinahusiana sana.
Kinorwei kina insha rasmi mbili: bokmål na nynorsk.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinorwei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kinorwei, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.