Asasi ni chombo kikubwa kama vile shirika linalohusika na utoaji wa huduma kwa watu katika jamii.
Asasi zipo za aina mbalimbali; kuna asasi za kiserikali na asasi zisizo za kiserikali.
Hivi ni vyombo au mashirika mbalimbali ya kiserikali yanayojishughulisha na utoaji wa huduma katika jamii. Vyombo hivyo vinaweza kuwepo katika elimu, afya na kadhalika.
Hivi vi vyombo au mashirika mbalimbali binafsi yanayojishughulisha na utoaji wa huduma katika jamii.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Asasi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Asasi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.