Umaksi

Umaksi (pia: Umarksi, Umarx, kwa Kiingereza Marxism) ni falsafa ambayo inafuata uyakinifu na inakusudia kuleta maendeleo ya haraka katika jamii kuanzia uchumi unaotazamwa kuwa msingi wa mahusiano yote.

Umaksi
Karl Marx

Lengo kuu ni kuondoa matabaka katika jamii na kuleta usawa katika ya binadamu. Njia ni kuwawezesha wanyonge kudai haki zao kwa kuungana na kuleta mapinduzi dhidi ya wanyonyaji.

Katikati ya karne ya 19, waanzilishi wa jitihada hizo walikuwa Wajerumani wawili: Karl Marx na Friedrich Engels. Jina Umaksi linatokana na wa kwanza kati yao, Marx.

Umaksi uliendelezwa na watu mbalimbali hasa katika karne ya 20 kadiri siasa hiyo ilivyozidi kuenea duniani, hadi kuongoza maisha ya theluthi ya binadamu wote. Kati yao, Vladimir Ilich Lenin, Leon Trotsky, Joseph Stalin nchini Urusi na Mao Zedong huko China. Katika Umoja wa Kisovyeti na nchi zilizotawaliwa na Wakomunisti mabadiliko ya fundisho hili yaliitwa Umaksi-Ulenin (Marxism-Leninism) na kuwa itikadi rasmi.

Baada ya ukomunisti kushindikana Ulaya Mashariki pamoja na Urusi kusambaratika (1989), mvuto wa falsafa hiyo umepungua sana.

Tanbihi

Marejeo

  •   Invalid |name-list-format=scap (help)
  •   Invalid |name-list-format=scap (help)
  •   Invalid |name-list-format=scap (help)
  •   Invalid |name-list-format=scap (help)
  •   Invalid |name-list-format=scap (help)
  • .  Invalid |name-list-format=scap (help)
  • .  Invalid |name-list-format=scap (help)
  •   Invalid |name-list-format=scap (help)

Viungo vya nje

Umaksi 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

FalsafaJamiiKiingerezaMaendeleoUchumiUyakinifu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UnyenyekevuGameMnyoo-matumbo MkubwaWahaTanganyika African National UnionMaghaniKisaweOrodha ya Magavana wa TanganyikaJiniInsha ya wasifuKifua kikuuSarafu ya BitKrioliSayansiMagonjwa ya kukuMwanzo (Biblia)Bustani ya EdeniUyahudiMsumbijiAdhuhuriAzimio la ArushaOrodha ya Marais wa MarekaniJacob StephenMkoa wa KageraUlayaKiarabuIntanetiIhefu F.C.SodomaDavis MwamunyangeMwanaumeUfinyanziFigoNyokaNdotoKiambishi tamatiMadiniWapogoloSaidi NtibazonkizaNdiziAwilo LongombaKidole gumbaHekalu la YerusalemuMafarisayoUandishiDolar ya MarekaniMsukuleEmmanuel MbogoMuundo wa inshaMkoa wa NjombeOrodha ya makabila ya KenyaInshaEl ClásicoMsituVirusi vya UKIMWIMitume na Manabii katika UislamuMwanamkeAfya na mwonekano wa Michael JacksonMwigizajiFananiRicardo KakaYohane MbatizajiWairaqwBendera ya TanzaniaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)DuniaFarasiHistoria ya UrusiKikoromeoZiwa Viktoria23 ApriliUnyanyasaji wa kijinsiaUleviRaisWayao (Tanzania)🡆 More