Orodha Ya Marais Wa Marekani

Katika Katiba ya Marekani, Rais wa Marekani ni Mkuu wa Taifa pamoja na kuwa Mkuu wa Serikali wa nchi hiyo.

Kama mkuu wa tawi la utendaji na mkuu wa serikali ya majimbo, rais ndiye mwenye cheo na madaraka makuu zaidi katika nchi ya Marekani. Rais pia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Marekani. Kuchaguliwa kwa rais wa Marekani ni kupitia mfumo wa wawakilishi wenye kura (electoral college), ambapo rais huchaguliwa kwa muhula wa miaka minne. Inawezekana pia kwamba rais achaguliwe kupitia katika Nyumba ya Wawakilishi ya Marekani (US House of Representatives), ikiwa kongamano la wajumbe halikuweza kumchagua rais kwa kumpa mgombea mmoa kura nyingi kuliko mwingine yeyote. Kulingana na Katiba ya Marekani, mtu yeyote hawezi kuchaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo zaidi ya mara mbili. Kukitokea kifo, kujiuzulu au kuondelewa mamlakani kwa rais, Makamu wa Rais wa Marekani atachukulia kiti cha rais. Orodha hii inajumulisha tu wale watu ambao waliapishwa kama rais kufuatia kupitishwa ka Katiba ya Marekani hapo 4 Machi 1789.

Orodha Ya Marais Wa Marekani
Ikulu ya White House, makazi rasmi ya rais wa Marekani
Orodha Ya Marais Wa Marekani
Ngao ya Taifa la Marekani.

Kumeapishwa marais 45, na kumekuwa na marais 46, kwa sababu rais Grover Cleveland alihudumu mihula miwili isiyofuatana, na kwa hivi anahesabiwa mara mbili, kama rais nambari 22 na nambari 24. Marais wanne walifariki kawaida wakiwa mamlakani (William Henry Harrison, Zachary Taylor, Warren G. Harding, na Franklin D. Roosevelt), mmoja akajiuzulu (Richard Nixon), na wanne wakauawa (Abraham Lincoln, James A. Garfield, William McKinley, na John F. Kennedy). Rais wa kwanza wa Marekani alikuwa George Washington, aliyeapishwa 1789 bada ya kupigiwa kura na wajumbe wote katika kongamano. William Henry Harrison alihudumu kwa muda wa siku 31 pekee, mwaka 1841, naye Franklin D. Roosevelt akahudumu kwa muda mrefu zaidi kuliko wote, miaka 12. Rais wa sasa ni Joe Biden, aliyeapishwa 20 Januari 2021.

Marais

Urais Jina la Rais Kipindi cha utawala Chama Jimbo la kuzaliwa Makamu wa Rais
1 George Washington Orodha Ya Marais Wa Marekani  1789 - 1797 Independent Virginia John Adams
2 John Adams Orodha Ya Marais Wa Marekani  1797 - 1801 Federalist Massachusetts Thomas Jefferson
3 Thomas Jefferson Orodha Ya Marais Wa Marekani  1801 - 1809 Republican (Jeffersonian) Virginia Aaron Burr | George Clinton
4 James Madison Orodha Ya Marais Wa Marekani  1809 - 1817 Republican (Jeffersonian) Virginia Elbridge Gerry
5 James Monroe Orodha Ya Marais Wa Marekani  1817 - 1825 Republican (Jeffersonian) Virginia Daniel Tompkins
6 John Quincy Adams Orodha Ya Marais Wa Marekani  1825 - 1829 National Republican Massachusetts John Calhoun
7 Andrew Jackson Orodha Ya Marais Wa Marekani  1829 - 1837 Democratic South Carolina John Calhoun | Martin Van Buren
8 Martin Van Buren Orodha Ya Marais Wa Marekani  1837 - 1841 Democratic New York Richard Mentor Johnson
9 William Harrison Orodha Ya Marais Wa Marekani  1841* Whig Virginia John Tyler
10 John Tyler Orodha Ya Marais Wa Marekani  1841 - 1845 Whig Virginia
11 James Polk Orodha Ya Marais Wa Marekani  1845 - 1849 Democrat North Carolina George Dallas
12 Zachary Taylor Orodha Ya Marais Wa Marekani  1849 - 1850* Whig Virginia Millard Fillmore
13 Millard Fillmore Orodha Ya Marais Wa Marekani  1850 - 1853 Whig New York
14 Franklin Pierce Orodha Ya Marais Wa Marekani  1853 - 1857 Democrat New Hampshire William King
15 James Buchanan Orodha Ya Marais Wa Marekani  1857 - 1861 Democrat Pennsylvania John Breckinridge
16 Abraham Lincoln Orodha Ya Marais Wa Marekani  1861 - 1865* Republican Kentucky Hannibal Hamlin | Andrew Johnson
17 Andrew Johnson Orodha Ya Marais Wa Marekani  1865 - 1869 Democrat North Carolina
18 Ulysses Grant Orodha Ya Marais Wa Marekani  1869 - 1877 Republican Ohio Schuyler Colfax | Henry Wilson
19 Rutherford Hayes Orodha Ya Marais Wa Marekani  1877 - 1881 Republican Ohio William Wheeler
20 James Garfield Orodha Ya Marais Wa Marekani  1881 - 1881* Republican Ohio Chester Arthur
21 Chester Arthur Orodha Ya Marais Wa Marekani  1881 - 1885 Republican Vermont
22 Grover Cleveland Orodha Ya Marais Wa Marekani  1885 - 1889 Democrat New Jersey Thomas Hendricks
23 Benjamin Harrison Orodha Ya Marais Wa Marekani  1889 - 1893 Republican Ohio Levi Morton
24 Grover Cleveland Orodha Ya Marais Wa Marekani  1893 - 1897 Democrat New Jersey Adlai Stevenson
25 William McKinley Orodha Ya Marais Wa Marekani  1897 - 1901* Republican Ohio Garret Hobart | Theodore Roosevelt
26 Theodore Roosevelt Orodha Ya Marais Wa Marekani  1901 - 1909 Republican New York Charles Fairbanks
27 William Howard Taft Orodha Ya Marais Wa Marekani  1909 - 1913 Republican Ohio James Sherman
28 Woodrow Wilson Orodha Ya Marais Wa Marekani  1913 - 1921 Democrat Virginia Thomas Marshall
29 Warren Harding Orodha Ya Marais Wa Marekani  1921 - 1923* Republican Ohio Calvin Coolidge
30 Calvin Coolidge Orodha Ya Marais Wa Marekani  1923 - 1929 Republican Vermont Charles Dawes
31 Herbert Hoover Orodha Ya Marais Wa Marekani  1929 - 1933 Republican Iowa Charles Curtis
32 Franklin Roosevelt Orodha Ya Marais Wa Marekani  1933 - 1945* Democrat New York John Garner | Henry Wallace | Harry Truman
33 Harry Truman Orodha Ya Marais Wa Marekani  1945 - 1953 Democrat Missouri Alben Barkley
34 Dwight Eisenhower Orodha Ya Marais Wa Marekani  1953 - 1961 Republican Texas Richard Nixon
35 John Kennedy Orodha Ya Marais Wa Marekani  1961 - 1963* Democrat Massachusetts Lyndon Johnson
36 Lyndon Johnson Orodha Ya Marais Wa Marekani  1963 - 1969 Democrat Texas Hubert Humphrey
37 Richard Nixon Orodha Ya Marais Wa Marekani  1969 - 1974** Republican California Spiro Agnew | Gerald Ford
38 Gerald Ford Orodha Ya Marais Wa Marekani  1974 - 1977 Republican Nebraska Nelson Rockefeller
39 Jimmy Carter Orodha Ya Marais Wa Marekani  1977 - 1981 Democrat Georgia Walter Mondale
40 Ronald Reagan Orodha Ya Marais Wa Marekani  1981 - 1989 Republican Illinois George H. W. Bush
41 George H. W. Bush 1989 - 1993 Republican Massachusetts Dan Quayle
42 Bill Clinton Orodha Ya Marais Wa Marekani  1993 - 2001 Democrat Arkansas Al Gore
43 George W. Bush Orodha Ya Marais Wa Marekani  2001 - 2009 Republican Connecticut Dick Cheney
44 Barack Obama Orodha Ya Marais Wa Marekani  2009 - 2017 Democrat Hawaii Joe Biden
45 Donald Trump Orodha Ya Marais Wa Marekani  2017 - 2021 Republican New York Mike Pence
46 Joe Biden Orodha Ya Marais Wa Marekani  2021 - Democrat Pennsylvania Kamala Harris


'*' maana yake, amefariki madarakani

'**' maana yake, amejiuzulu madarakani

Marejeo

Viungo vya Nje

Tags:

CheoMautiMkuu wa SerikaliNyumba ya Wawakilishi ya MarekaniRais wa MarekaniWawakilishi wenye kura

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

IsimujamiiNafsiTarbiaOrodha ya Marais wa UgandaMimba kuharibikaMoses KulolaElimuSkeliIsimuUtataHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKinjikitile NgwaleKomaUgonjwa wa uti wa mgongoVivumishi vya pekeeMapenziOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaTaasisi ya Taaluma za KiswahiliMgawanyo wa AfrikaHistoria ya KanisaBundukiJamhuri ya Watu wa ZanzibarUtafitiHarusiFalsafaUaNomino za jumlaOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoBaraUgonjwa wa kuharaPesaLigi ya Mabingwa AfrikaMkoa wa SongweLahaja za KiswahiliKonsonantiInshaUpendoUNICEFKata (maana)Uainishaji wa kisayansiBaraza la mawaziri Tanganyika 1961KiingerezaBiashara ya watumwaIbadaViwakilishi vya sifaKanga (ndege)Mkataba wa Helgoland-ZanzibarKiswahiliNabii IsayaMobutu Sese SekoVivumishi vya kuoneshaMmeaHaki za binadamuNgiriLingua frankaMachweoShirika la Utangazaji TanzaniaCristiano RonaldoMishipa ya damuBarua rasmiKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaBiasharaNathariMauaji ya kimbari ya RwandaTarafaUmaskiniOrodha ya Watakatifu wa AfrikaNusuirabuHistoria ya IsraelMnyamaUchapajiKidole cha kati cha kandoMivighaMoyo🡆 More