Novak Djokovich (22 Mei 1987, Belgrad; Kiserbia: Новак Ђоковић, Novak Đoković) ni mchezaji wa tenisi kutoka Serbia.
Alishinda mashindano matano ya Grand Slam. Mwaka 2012 Djokovich alikuwa mchezaji bora duniani kwenye orodha ya ATP.
Novak Djokovich | |
---|---|
| |
Alizaliwa | 22 Mei 1987 Serbia |
Kazi yake | michezo - tenisi |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Novak Djokovich, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.