Asia ya Kati ni eneo kubwa katikati ya bara la Asia.
Kuna maelezo yanayotofautiana kati yao kuhusu eneo lenyewe.
Mara nyingi nchi zifuatazo huhesabiwa humo:
Zote zilikuwa jamhuri za Umoja wa Kisovyeti.
UNESCO imeongeza pamoja na nchi tano hizo nchi zifuatazo:
Kihistoria eneo hili limeitwa mara nyingi kwa jina "Turkestan" kwa sababu ilikaliwa au inakaliwa hadi leo na watu wanaotumia lugha za Kiturki.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Asia ya Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Asia ya Kati, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.