G

G ni herufi ya 7 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa.

Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
Aa Bb Cc ch Dd
Ee Ff Gg Hh Ii Jj
Kk Ll Mm Nn Oo Pp
Qq Rr Ss Tt Uu Vv
Ww Xx Yy Zz

Asili yake ni katika alfabeti ya Kilatini.

Maana za G

Historia ya alama G

Alama ya G ilianzishwa katika alfabeti ya Kilatini kama badiliko la herufi C.

Kiebrania
gimel
Kifinisia
gimel
Kigiriki
Gamma
Kiitalia
cha awali: C
Kilatini
C (=g / k)
ג G  G  G  G 

Asili ya herufi G ni pamoja na C katika miandiko iliyotangulia alfabeti ya Kilatini. Waroma walipokea mwandiko kutoka alfabeti ya Kigiriki kupitia alfabeti za Kiitalia za awali kama Kietruski. Wagiriki walipokea kutoka Wafinisia.

Wafinisia walikuwa na gimel iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya ngamia wakitumia alama tu kwa sauti ya "g" na kuiita kwa neno lao kwa ngamia "gimel". Wagiriki walichukua alama hiyo na kuiita "gamma" bila kujali maana asilia ya "ngamia" ilikuwa sauti tu ya "g".

Waitalia ya kwanza hawakuwa na sauti ya "g" wakatumia alama kwa aina ya "k". Waroma wakaipokea hivyo lakini walikuwa na sauti ya "g" hivyo mwanzoni walitumia "C" kwa sauti zote mbili za "G" na "K". Baadaye waliona vema kutofautisha kati ya sauti za "k" na "g" wakaongeza mstari kwenye C kuifanya G. "C" ikabaki kwao kwa kuandika sauti ya "k".

Tags:

Alfabeti ya KilatiniKiswahili

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NyaniHerufiNikki wa PiliJoseph Leonard HauleBaruaPaka (maana)UlumbiTarakilishiKumaMitume wa YesuMadhehebuWahaMunguWaheheUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaDuniaWiki FoundationPaul MakondaAkiliDodoma (mji)MjombaApril JacksonNelson MandelaOrodha ya milima mirefu dunianiOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoNomino za dhahaniaMisaUkristoHistoriaBarua rasmiMartin LutherMaghaniMapenziMuhammadTarafaMillard AyoHaki za watotoKamusi ya Kiswahili - KiingerezaSemantikiSanaaMeta PlatformsZama za MaweCleopa David MsuyaUrenoKifaaNomino za pekeeMwakaUtamaduniTanzaniaKiambishiMfumo wa JuaJoseph Sinde WariobaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniTafsidaPandaMsalaba wa YesuHadithiUsultani wa ZanzibarLa LigaMbuniWabunge wa Tanzania 2020Kigoma-UjijiWaluguruMlongeAbedi Amani KarumeHafidh AmeirWamasaiMmomonyokoJuxAfrika Mashariki 1800-1845TashihisiKitenzi kikuu kisaidiziKitenziKitenzi kishirikishi🡆 More