Uswisi: Nchi katika Ulaya ya Kati

Uswisi ni nchi ya Ulaya isiyo na pwani katika bahari yoyote.

Uswisi

Imepakana na Ujerumani, Ufaransa, Italia, Austria na Liechtenstein.

Jina rasmi ni Confoederatio Helvetica (kwa Kilatini: Shirikisho la Kiswisi).

Majimbo yake 26, ambayo huitwa "kantoni", yanajitawala.

Historia

Shirikisho la Uswisi lilianza mwaka 1300 hivi kutokana na ushindi vitani dhidi ya Austria na Burgundy.

Uhuru wa shirikisho kutoka Dola Takatifu la Kiroma ulitambuliwa rasmi katika Amani ya Westphalia mwaka 1648.

Sifa

Uswisi imepata umaarufu hasa kutokana na sababu zifuatazo:

Uswisi: Historia, Sifa, Miji 
Ramani

Miji

Mji mkuu wa shirikisho ni Bern.

Mji mkubwa ni Zürich wenye benki nyingi.

Mji wa Geneva ni kati ya makao makuu ya Umoja wa Mataifa; ni pia makao makuu ya kimataifa ya Umoja wa shirika za Msalaba Mwekundu na mashirikia mengine ya kimataifa.

Hata hivyo Uswisi imekuwa kati ya nchi za mwisho kujiunga na UM (2002).

Watu

Kuna lugha rasmi 4: Kijerumani (62.8%), Kifaransa (22.9%), Kiitalia (8.2%) na Kirumanj (0.5%). Lakini wengi wanajua na kutumia lugha zaidi ya moja.

Kati ya lugha za kigeni zinazotumika nyumbani, zinaongoza Kiingereza (5%), Kireno (3.8%), Kialbania (3%), Kihispania (2.6%), Kiserbokroatia (2.5%) n.k.

Upande wa dini, kati ya wakazi, 68% ni Wakristo, hasa Wakatoliki (37.2%) na Wakalvini (25%), lakini pia Waorthodoksi (2.3%) na wengineo. 5.1% ni Waislamu (hasa wahamiaji). 24% hawana dini maalumu.

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Uswisi: Historia, Sifa, Miji  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uswisi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Uswisi HistoriaUswisi SifaUswisi MijiUswisi WatuUswisi Tazama piaUswisi MarejeoUswisi Viungo vya njeUswisiBahariPwaniUlaya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MwanamkeWilaya ya HandeniHuduma ya kwanzaWema SepetuMkoa wa ManyaraMkataba wa Helgoland-ZanzibarAfrika Mashariki 1800-1845UkoloniMilango ya fahamuNambaKigugumiziUfugaji wa kukuWanyakyusaMazingiraWanyaturuLugha ya taifaJakaya KikweteMtandao wa kijamiiDhahabuSensaMkoa wa KageraKitenzi kikuu kisaidiziUtendi wa Fumo LiyongoViwakilishi vya sifaBaruaDNATaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaShuleMamba (mnyama)UmaskiniHeshimaUundaji wa manenoOrodha ya milima mirefu dunianiMatendo ya MitumeMamlaka ya Mapato ya TanzaniaMange KimambiMgawanyo wa AfrikaKiwakilishi nafsiKamusi ya Kiswahili sanifuKasisiGridiMapinduzi ya ZanzibarMaghaniUkoloni MamboleoEdward SokoinePaul MakondaBawasiriWasukumaMsituLafudhiMbeya (mji)MbossoBenjamin MkapaKiharusiMichezo ya watotoKunguniUfupishoUsultani wa ZanzibarMatiniKipindupinduAfrikaAfyaSerikaliWazaramoRushwaWajitaTausiKukuMpira wa miguuVirusi vya UKIMWIWizara za Serikali ya TanzaniaRiwayaMitume na Manabii katika UislamuMlongeWaraka🡆 More