Moldova

Moldova ni nchi ya Ulaya ya Mashariki.

Moldova

Inapakana na Ukraina na Romania.

Eneo lake ni la km2 33,843, ingawa Transnistria imejitenga kwa msaada wa Urusi.

Mji mkuu ni Chișinău.

Historia

Kwa kiasi kikubwa historia ya Moldova inahusiana na ile ya Romania kwa kuwa ni taifa moja kwa utamaduni, lugha na dini.

Baada ya vita vikuu vya kwanza Moldova ilikuwa sehemu ya Umoja wa Kisovyeti kwa jina la Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kimoldova hadi ilipopata uhuru wake tarehe 27 Agosti 1991.

Watu

Wakazi ni milioni 3.5 hivi.

Lugha rasmi ni Kiromania, ambacho kimetokana hasa na Kilatini. Ni lugha ya kwanza ya 76% ya wakazi wote, ikifuatwa na Kirusi (16%).

Upande wa dini, 93.34% ni Wakristo Waorthodoksi.

Moldova  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Moldova kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Ulaya ya Mashariki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vita ya Uingereza dhidi ya ZanzibarOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoHistoria ya WokovuAmfibiaVivumishi ya kuulizaMV BukobaMaarifaFutiTanganyikaOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaTabiaKichecheKima (mnyama)ShangaziRushwaNyukiOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMohamed HusseinUtandawaziMunguBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiUfupishoOrodha ya Marais wa ZanzibarMkoa wa TaboraHadithi za Mtume MuhammadKilomita ya mrabaLahajaPasakaMbuniViwakilishiNdoaJinsiaKumamoto, KumamotoEdomuOrodha ya maziwa ya TanzaniaMaadiliMkanda wa jeshiTendo la ndoaTanganyika (ziwa)Vivumishi vya pekeeAnwaniHistoria ya IsraelShambaMwakaPaa (maana)WapareMpwaUhindiLugha za KibantuBendera ya TanzaniaMofimuSteven KanumbaMbeyaKylian MbappéVitaTreniSheriaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoSamia Suluhu HassanShereheSayansiMkoa wa Unguja Mjini MagharibiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniHarusiViwakilishi vya -a unganifuUkristoMtakatifu PauloAngahewaUmoja wa Muungano wa AfrikaKontuaAsili ya KiswahiliNenoVieleziAfrika ya MasharikiMaji🡆 More