Mwezi wa Januari ni mwezi wa kwanza katika Kalenda ya Gregori.
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Jina lake limetokana na jina la mungu Ianus wa Warumi. Kwa Kilatini, ianua maana yake ni "mlango".
Januari ina siku 31, na inaanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Oktoba; ila katika mwaka mrefu (wenye siku 366), siku yake ya kwanza ni sawa na mwezi wa Aprili na wa Julai.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Januari, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.