Uchaguzi mkuu ulifanyika nchini Kenya tarehe 8 Agosti 2017 ili kumchagua Rais, wanachama wa Bunge la Kitaifa na Seneti.
Uchaguzi huo uliambatana na uchaguzi wa mashinani nchini Kenya wa 2017 ambao ulichagua Magavana na wawakilishi katika serikali za ugatuzi
Makala hii kuhusu "Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2017" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2017, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.