Sisimizi

Nusufamilia 19: Agroecomyrmecinae Carpenter, 1930 Amblyoponinae Forel, 1893 Aneuretinae Emery, 1913 Dolichoderinae Forel, 1878 Dorylinae Leach, 1815 Ectatomminae Emery, 1895 Formicinae Latreille, 1809 Heteroponerinae Bolton, 2003 Leptanillinae Emery, 1910 Martialinae Rabeling & Verhaagh, 2008 Myrmeciinae Emery, 1877 Myrmicinae Lepeletier, 1835 Paraponerinae Emery, 1901 Ponerinae Lepeletier, 1835 Proceratiinae Emery, 1895 Pseudomyrmecinae Smith, 1952

Sisimizi
Majimoto (Solenopsis sp.)
Majimoto (Solenopsis sp.)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropodi (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
Nusufaila: Hexapoda (Wanyama wenye miguu sita)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Nusungeli: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Oda: Hymenoptera (Wadudu wenye mabavu angavu)
Nusuoda: Apocrita (Hymenoptera wenye kiuno chembamba sana)
Familia ya juu: Fromicoidea (Hymenoptera kama siafu)
Familia: Formicidae (Sisimizi)
Latreille, 1809
Ngazi za chini


Sisimizi ni familia ya wadudu wadogo wanaoishi katika jamii. Jamii hizi zinaweza kuwa na sisimizi makumi kadhaa tu au kuwa na mamilioni kulingana na spishi mbalimbali.

Sisimizi
Sisimizi jinsi anavyokamua vidukari

Makazi yao yapo mara nyingi chini ya ardhi au mahali pengine panapohifadhiwa kama chini ya jiwe kubwa au katika nafasi ndani ya miti. Wanatumia udongo na nyuzi za mimea kwa ujenzi.

Jenasi kadhaa kama vile siafu (Dorylus spp.) hawana makazi ya kudumu bali wanahamahama.

Mchwa hawako karibu na sisimizi hata kama wanafana nao katika mengi na kuitwa kwa Kiingereza "white ants" lakini wako katika nasaba nyingine pamoja na kombamwiko.

Majina ya aina za sisimizi kwa Kiswahili

  • Chungu (aina inayouma)
  • Nyenyerere (wadogo weusi)
  • Majimoto (aina nyekundu inayouma vibaya sana)
  • Samesame (aina nyekundu)
  • Sangara (aina nyekundu)
  • Siafu (jenasi Dorylus)
  • Sungusungu (Megaponera analis)

Picha

Viungo vya Nje

Sisimizi 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Sisimizi  Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sisimizi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Smith

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Umoja wa AfrikaUwanja wa Taifa (Tanzania)UchapajiWizara za Serikali ya TanzaniaMasharikiMagonjwa ya kukuBawasiriTiktokKitaluAfrikaUandishiMpango wa BiasharaFilomena wa RomaZuchuMkoa wa KageraKiini cha atomuMaana ya maishaOrodha ya Watakatifu wa AfrikaOrodha ya makabila ya KenyaTAZARAWema SepetuUkwapi na utaoJotoVipera vya semiYesuMkoa wa Unguja Mjini MagharibiBaruaUti wa mgongoMkoa wa NjombeKanisaFalsafaMaishaUkoloni MamboleoPistiliHistoria ya KanisaJamhuri ya Watu wa ZanzibarMsamiatiBarua rasmiMbossoShetaniMamaNuktambiliUtumbo mwembambaShikamooVita Kuu ya Pili ya DuniaUhindiKinywaMnyamaDuniaNdiziUtoaji mimbaOrodha ya viongoziMbuMatendo ya MitumeUgonjwaUNICEFBabeliLahajaAli KibaInsha ya wasifuUgonjwa wa kuharaMagimbiPijini na krioliOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoNafsiPalestinaKamusi za KiswahiliKiambishiNomino za pekeeMkoa wa PwaniKabilaMatiniBibliaKiongoziSimbaNomino za jumlaKiambishi tamatiIsraeli ya Kale🡆 More