Pablo Escobar

Pablo Escobar (1 Desemba 1949 – 2 Desemba 1993) alikuwa mfanyabiashara wa madawa ya kulevya kutoka Kolombia huko Marekani.

Pablo Escobar
Pablo Escobar (1976)

Kijana huyu, kipindi yupo darasa la saba, alikuwa anawaambia wenzake kwamba atakapomaliza darasa la saba atashika dola za Kimarekani bilioni 30. Alipomaliza darasa la saba alianza kutimiza ndoto yake kwa kuuza madawa ya kulevya huko Kolombia. Mpaka mwaka 1980 alikuwa msafirishaji mkubwa wa cocaine. Pia alipata kuwa mmoja wa matajiri duniani kwa muda mfupi.

Mwaka 1991 alijisalimisha kwa maafisa wa polisi kwa makosa mengi ikampelekea kufungwa miaka mitano jela. Alichaguliwa kukaa gereza lake mwenyewe. Alitoroka mwaka 1992 akiwa anapelekwa kituo kidogo cha kawaida cha kushikilia, na kusababisha msako wa kitaifa. Mnamo mwaka 1993 aliuwawa na polisi wa taifa la Kolombia.

Alifariki akiwa na miaka 44.

Pablo Escobar Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pablo Escobar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1 Desemba194919932 DesembaKolombiaMadawa ya kulevyaMarekaniMfanyabiashara

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya Kanisa KatolikiUkristoHistoria ya KiswahiliNyangumiTabiaUjimaMofolojiaKiboko (mnyama)Uhifadhi wa fasihi simuliziKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaKorea KusiniHotubaIniDubaiJacob StephenMoshi (mji)Ali KibaNathariMaudhuiTeknolojiaMichoro ya KondoaKamusiDivaiNenoVivumishi ya kuulizaJinsiaVielezi vya namnaMwakaShinaShambaOrodha ya nchi za AfrikaWapareMashariki ya KatiMusaMaji kujaa na kupwaVisakaleAbrahamuUundaji wa manenoNg'ombeWaduduOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaShinikizo la juu la damuKiunzi cha mifupaMohammed Gulam DewjiHoma ya matumboVichekeshoUkabailaKiswahiliMuundoDhamiraUaHektariYerusalemuKitabu cha Yoshua bin SiraMaajabu ya duniaVladimir PutinUandishi wa barua ya simuMarie AntoinetteKisaweUgonjwaMkoa wa MwanzaWanyama wa nyumbaniAina za udongoBawasiriHaki za binadamuVidonge vya majiraRaiaUtamaduni wa KitanzaniaTanganyika (ziwa)Jiografia ya Tanzania🡆 More