Njiwa

Jenasi 2; spishi 53, 20 katika Afrika:

Njiwa
Kunda madoa
Kunda madoa
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Columbiformes (Ndege kama njiwa)
Familia: Columbidae (Ndege walio na mnasaba na njiwa)
Leach, 1820
Nusufamilia: Columbinae (Ndege walio mnasaba na njiwa)
Leach, 1820
Ngazi za chini

  • Columba Linnaeus, 1758
    • C. albinucha Sassi, 1911
    • C. albitorques Rüppell, 1837
    • C. arquatrix Temminck, 1808
    • C. bollii Godman, 1872
    • C. delegorguei Delegorgue, 1847
    • C. guinea Linnaeus, 1758
    • C. iriditorques Cassin, 1856
    • C. junoniae Hartert, 1916
    • C. larvata Temminck, 1809
    • C. livia Gmelin, 1789
    • C. malherbii J.Verreaux & E.Verreaux, 1851
    • C. oenas Linnaeus, 1758
    • C. oliviae Clarke, 1918
    • C. palumbus Linnaeus, 1758
    • C. pollenii Schlegel, 1865
    • C. simplex (Hartlaub, 1849)
    • C. sjostedti Reichenow, 1901
    • C. thomensis Bocage, 1888
    • C. trocaz Heineken, 1829
    • C. unicincta Cassin, 1859
  • Patagioenas Reichenbach, 1852

Njiwa ni ndege wakubwa kiasi wa jenasi Columba na Patagioenas katika familia Columbidae. Spishi nyingine huitwa kunda pia.

Wana rangi ya kijivu na nyeupe na pengine kuna rangi ing'aayo ya buluu au zambarau.

Wanatokea mazingira yote yenye miti. Njiwa hula mbegu, matunda na mimea. Hujenga tago lao la vijiti kwa miti au miwamba. Jike hutaga mayai mawili kwa kawaida na makinda wapewa dutu inayofanana na maziwa. Dutu hii inatungwa katika gole la ndege.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

Njiwa  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Njiwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mlo kamiliKaswendeTafsiriChakulaKata za Mkoa wa Dar es SalaamBibliaNguvaTungo sentensiMajigamboNungununguSahara ya MagharibiPentekosteSayariKichochoOrodha ya Marais wa BurundiMandhariOrodha ya Watakatifu wa AfrikaChuiUjuziPasaka ya KiyahudiDubai (mji)Mapinduzi ya ZanzibarBikiraMkoa wa Unguja Mjini MagharibiOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaLatitudoUkatili wa kijinsiaEdward Ngoyai LowassaKifua kikuuMuundo wa inshaMunguMitume na Manabii katika UislamuSimu za mikononiUkabailaDaktariHorusSanaaKilwa KisiwaniMkoa wa ArushaIdhaa ya Kiswahili ya Radio TehranVivumishi vya jina kwa jinaFani (fasihi)Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoWabondeiWaluoKinjikitile NgwaleKampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya MasharikiNyotaPaul MakondaMichezo ya watotoKitenzi kikuu kisaidiziMaajabu ya duniaShinikizo la juu la damuVita vya KageraFamiliaHistoria ya KiswahiliWikipediaNyaniDamuUyogaMawasilianoVivumishi vya kuoneshaNdoaTarafaLongitudoNgano (hadithi)ZakayoMoyoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaDodoma MakuluPundaJokofuHarmonizeUbunifuApril JacksonKito (madini)Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Tanzania🡆 More