Ninga

Kwa matumizi taofauti ya jina hili angalia hapa Ninga (Njombe)

Ninga
Ninga wa Afrika (Treron calvus)
Ninga wa Afrika (Treron calvus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Columbiformes (Ndege kama njiwa)
Familia: Columbidae (Ndege walio na mnasaba na njiwa)
Nusufamilia: Treroninae (Ninga)
Ngazi za chini

Jenasi 4; spishi 10 katika Afrika:

  • Alectroenas G.R. Gray, 1840
    • A. madagascariensis (Linnaeus, 1766)
    • A. nitidissimus (Scopoli, 1786)
    • A. pulcherrimus (Scopoli, 1786)
    • A. sganzini (Bonaparte, 1854)
  • Cryptophaps Salvadori, 1893
  • Phapitreron Bonaparte, 1854
  • Treron Vieillot, 1816
    • T. australis (Linnaeus, 1771)
    • T. calvus (Temminck, 1811)
    • T. griveaudi Benson, 1960
    • T. pembaensis Pakenham, 1940
    • T. sanctithomae (Gmelin, 1789)
    • T. waalia (F.A.A.Meyer, 1793)

Ninga ni ndege wa nusufamilia Treroninae katika familia Columbidae. Spishi nyingi zina rangi ya majani na manjano, nyingine zina rangi ya buluu. Spishi hizi zinatokea Afrika na Asia. Hula matunda, hususa matini. Hulijenga tago lao mitini na jike huyataga mayai mawili.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha

Tags:

Ninga (Njombe)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MaigizoMbooBarua pepeVirusi vya CoronaBendera ya KenyaJuxMeta PlatformsRamaniMgawanyo wa AfrikaNyimbo za jadiAli Hassan MwinyiHistoria ya WaparePentekosteTambikoHifadhi ya NgorongoroUenezi wa KiswahiliBungeAslay Isihaka NassoroMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaUundaji wa manenoAmina ChifupaMbuyuOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaDini asilia za KiafrikaAgano JipyaAntibiotikiOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaZuchuWanyakyusaNeemaJoyce Lazaro NdalichakoKishazi tegemeziDayolojiaKata (maana)Athari za muda mrefu za pombeNuktambiliMnyoo-matumbo MkubwaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaHuduma ya kwanzaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziMgonjwaPesaIdhaa ya Kiswahili ya Radio TehranMsitu wa AmazonKichochoKalenda ya KiislamuSerikaliIsimujamiiWikipedia ya KiswahiliTarakilishiMartha MwaipajaNungununguMafua ya kawaidaOrodha ya Watakatifu wa AfrikaWabunge wa Tanzania 2020Bob MarleyMashineFalme za KiarabuUfahamuNabii IsayaHistoria ya TanzaniaCleopa David MsuyaVasco da GamaJulius NyerereKilimanjaro (volkeno)MariooMillard AyoMazoezi ya mwiliLil WayneKupatwa kwa Mwezi🡆 More