Lugha za Kinilo-Sahara ni familia ya lugha za barani Afrika ambayo ni kati ya zile muhimu zaidi duniani.
Hata hivyo, si wataalamu wote wanakubali familia hiyo.
Katika familia hiyo kuna lugha takriban 200 zenye jumla ya wasemaji milioni 50-60 katika nchi 17, zikiwemo Algeria, Libya, Misri, Chad, Mali, Niger, Benin, Sudan, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Afrika Mashariki, k.m. Kijaluo na Kimaasai.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kinilo-Sahara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Lugha za Kinilo-Sahara, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.