Félix Tshisekedi: Rais wa jumbri y'a kidemokratia ya Kongo

Félix Antoine Tshisekedi (alizaliwa 13 Juni 1963) ni kiongozi wa chama cha Muungano wa Demokrasia na Maendeleo ya Jamii (UDPS), chama cha zamani na chama cha upinzani cha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Félix Tshisekedi: Rais wa jumbri y'a kidemokratia ya Kongo
Rais Felix Tshisekedi.

Mwishoni mwa mwaka 2008, Tshisekedi alitajwa kuwa Katibu Mkuu wa UDPS wa mahusiano ya nje. Mnamo Novemba 2011, alipata kiti katika Bunge la Taifa, akiwakilisha mji wa Mbuji Mayi katika mkoa wa Kasai-Mashariki.

Tarehe 10 Januari 2019, ilitangazwa kwamba Tshisekedi amechaguliwa kuwa rais wa nchi katika uchaguzi mkuu wa tarehe 30 Desemba 2018, kwa kuwashinda Martin Fayulu na Emmanuel Ramazani Shadary.

Baada ya Fayulu kukata rufaa, tarehe 19 Januari Mahakama Kuu ilithibisha ushindi wa Tshisekedi, ingawa Umoja wa Afrika, Kanisa Katoliki na nchi kama Ufaransa wa Ubelgiji walipinga tena.

Félix Tshisekedi: Rais wa jumbri y'a kidemokratia ya Kongo Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Félix Tshisekedi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

13 Juni1963Chama cha kisiasaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKiongozi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa RukwaJumamosi kuuHuduma ya kwanzaMaumivu ya kiunoSkeliArsenal FCOrodha ya nchi kufuatana na wakaziNguzo tano za UislamuNdegeRohoMagimbiMtiLady Jay DeeSaddam HusseinHistoria ya KenyaYesuWallah bin WallahDar es SalaamLahajaKumamoto, KumamotoKipanya (kompyuta)HektariUandishi wa ripotiNgonjeraMarijani RajabNdotoManchester United F.C.Albert EinsteinBahari ya ShamuMtume PetroAfande SeleIsraelKaabaMwanzo (Biblia)Historia ya WapareAkonWizara za Serikali ya TanzaniaKupatwa kwa MweziSenegalUkabailaMoyoMsitu wa AmazonUkoloniMwanzoUshogaAlomofuNguruweRisalaChaiWandaliUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaDhambiSeli nyeupe za damuSaidi NtibazonkizaDemokrasiaUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaHekimaKiswahiliMamba (mnyama)Jumuiya ya MadolaNyangumiMimba kuharibikaWamasoniVitenzi vishirikishi vikamilifuMungu ibariki AfrikaMsalabaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniKilimoKiambishi awaliZodiakiMethaliMofolojia🡆 More