Belarus

Belarus (kwa Kibelarus: Беларусь (Kikyrili) au Biełaruś (Kilatini); kwa Kirusi:Белоруссия ) ni nchi ya Ulaya ya Mashariki inayopakana na Urusi, Ukraine, Poland, Lithuania na Latvia.

Belarus
Belarus
Ramani ya Belarus

Mji mkuu ni Minsk na miji mingine ni pamoja na Brest, Grodno, Gomel, Mogilev na Vitebsk.

Idadi ya wakazi inapungua: ni watu 9,498,700 (2016).

Historia

Belarus haikuwahi kuwa nchi ya pekee hadi karne ya 20. Maeneo yake yalikuwa chini ya himaya mbalimbali kama vile Poland, Lithuania na Urusi. Belarus ilikuwa kitengo cha Umoja wa Kisovyet tangu 1919/1922 hadi 1991.

Wakazi na utamaduni

Wakazi walio wengi ni Wabelarus (83.7%) ambao wanaongea ama Kibelarus au Kirusi ambavyo vyote viwili ni lugha rasmi. Lugha hizi mbili zina asili moja. Takriban 11% za wakazi ni Warusi.

Kuna pia vikundi vidogo vinavyotumia lugha za pekee kama vile Kipoland, Kiukraine, Kilatvia, Kilituanya na nyingine.

Walio wengi ni wafuasi wa Ukristo katika Makanisa ya Kiorthodoksi (48.3%) na katika Kanisa Katoliki (7.1%).

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya Nje

Belarus  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Belarus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Belarus HistoriaBelarus Wakazi na utamaduniBelarus Tazama piaBelarus TanbihiBelarus Viungo vya NjeBelarusKibelarusKikyriliKilatiniKirusiLatviaLithuaniaPolandUkraineUlaya ya MasharikiUrusi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Paul MakondaMapinduzi ya ZanzibarStephane Aziz KiMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaDamuDesturiShairiYouTubeUgonjwa wa malaleKichochoRwandaMoses KulolaHorusMauaji ya kimbari ya RwandaMkoa wa KageraNeemaWikipedia ya KiswahiliAgano JipyaClatous ChamaKontuaLughaKiwakilishi nafsiUfilipinoMsitu wa AmazonWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMkutano wa Berlin wa 1885Nyimbo za jadiDolar ya MarekaniUislamuDhima ya fasihi katika maishaBenjamin MkapaLisheFisiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaVivumishi vya sifaMorokoAngahewaMethaliNgono zembeKamusi za KiswahiliKitenzi kikuu kisaidiziDuniaMaambukizi ya njia za mkojoMapambano ya uhuru TanganyikaShinikizo la juu la damuFonimuMaajabu ya duniaUkanda wa GazaZana za kilimoTamthiliaAsiliMkoa wa PwaniSaidi Salim BakhresaDiamond PlatnumzMadhehebuHaki za watotoRayvannyMitume wa YesuWilliam RutoBinadamuMkoa wa KilimanjaroViwakilishi vya kumilikiMfumo katika sokaKata (maana)NduniVivumishi ya kuulizaJulius NyerereMaktabaHakiMbuyuUtafitiNetiboliHistoria ya Kanisa KatolikiEthiopiaNomino za dhahaniaArusha (mji)🡆 More