Bahr El-Ghazal

Bahr el-Ghazal ni kanda la Sudan Kusini linalojumuisha majimbo ya Bahr al-Ghazal Magharibi, Bahr al-Ghazal Kaskazini, Warab na Maziwa, mbali ya eneo la pekee la Abyei.

Hadi uhuru wa Sudan Kusini mwaka 2010 ilikuwa mkoa wa Sudan.

Uko kaskazini magharibi mwa nchi na kukaliwa hasa na Wadinka.

Kwa jumla ni kilometa mraba 210,786 zenye wakazi 4,297,000 hivi (2014)

Bahr El-Ghazal Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahr el-Ghazal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AbyeiBahr al-Ghazal KaskaziniBahr al-Ghazal MagharibiJimboMaziwa, Sudan KusiniMkoaSudan KusiniWarab

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa MwanzaVivumishi vya pekeeKifaaFasihiFonolojiaMwenge wa UhuruNahauBinadamuUyakinifuKamusiWanyakyusaMartin LutherOrodha ya miji ya TanzaniaVasco da GamaHistoria ya ZanzibarHoma ya manjanoNafsiFananiMuzikiHektariSimuIdhaa ya Kiswahili ya Radio TehranWilaya ya MboziToharaKiambishiMabantuMange KimambiAthari za muda mrefu za pombeSamia Suluhu HassanWabondeiBunge la TanzaniaKamusi ya Kiswahili - KiingerezaUjerumaniWakingaUjamaaUaKitenzi kishirikishiMichezoTungo sentensiSaidi NtibazonkizaUkristo barani AfrikaJoseph Leonard HauleTendo la ndoaJumuiya ya Afrika MasharikiUgonjwa wa kuharaMunguMkoa wa SongweMkoa wa PwaniMuhammadFalsafaBenki ya DuniaZama za ChumaFasihi andishiMpira wa kikapuRaiaKiingerezaRose MhandoHistoria ya KanisaAsidiHistoria ya WapareAlfabetiUzazi wa mpangoMalebaKukuHakiMauaji ya kimbari ya RwandaUandishi wa inshaRwandaMsalaba wa YesuVipera vya semiThamaniUnyevuangaUreno🡆 More