Tirana

Tirana (Kialbania: Tiranë au Tirana) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Albania.

Idadi ya wakazi imekadiriwa kuwa kati ya 350,000 (kadirio rasmi ya mwaka 2003) na milioni moja.

Tirana
Kitovu cha mji Tirana
Tirana
Mahali pa Tirana nchini Albania

Jiografia

Mji uko karibu na mlima Dajti (m 1611 juu ya UB) takriban km 30 kutoka mwabao wa Adria.

Madhehebu

Kihistoria Tirana ilikuwa kasa mji wa Kiislamu wakati wa utawala wa Waturuki Waosmani. Kuna pia maaskofu wa kikristo wa kanisa orthodoksi na kanisa katoliki. Siku hizi kuna madhehebu yote kutokana na uhamiaji ndani ya nchi. Dini zote zilipigwa marufuku katika Albania wakati wa utawala wa ukomunisti hadi 1990. Maisha ya kidini imejengwa upya tangu kurudi wa uhuru huu. Tirana ni pia makao makuu ya jumuiya ya kiislamu ya Bektashi.

Historia

Tirana ilianzishwa na Waosmani Waturuki mnamo 1614. Ikawa mji mkuu baada ya uhuru wa Albania mwaka 1920.

Tirana  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tirana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

2003AlbaniaKialbaniaMji mkuu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vielezi vya namnaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaKidoleMwalimuMkoa wa ManyaraNimoniaHifadhi ya Mlima KilimanjaroUmemeKonsonantiItifakiMafurikoAsidiMjombaBilioniMwakaMkoa wa IringaKito (madini)Adolf HitlerMsongolaChakulaUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaSakramentiHadithi za Mtume MuhammadHaki za wanyamaIntanetiShairiKipepeoNyegeKichochoMuziki wa hip hopTarakilishiUhifadhi wa fasihi simuliziOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuInsha zisizo za kisanaaGeorge WashingtonUendelevuPasaka ya KiyahudiMapambano ya uhuru TanganyikaLahaja za KiswahiliNabii IsayaMisaUtamaduni wa KitanzaniaJokate MwegeloUzalendoBabuLugha ya taifaMohammed Gulam DewjiHisiaHistoria ya IranMhusika (fasihi)Historia ya AfrikaMaghaniWaluguruVipera vya semiPentekosteVitenzi vishiriki vipungufuNadhariaZama za MaweShinikizo la juu la damuTashbihaWilaya ya IlalaMshale (kundinyota)DuniaRejistaSilabiNyumbaKiumbehaiHistoria ya Kanisa KatolikiRushwaDesturiPesaIstanbulAmfibiaHerufi za KiarabuUaUkimwi🡆 More