Sarafu

Sarafu (kar.

Mara nyingi sarafu ina umbo la duara kama kisahani. Kuna pia sarafu za pembe tatu, pembe nne au pembe zaidi.

Sarafu
Sarafu ya Kenya

Zamani sarafu ilikuwa umbo la kawaida ya pesa. Sarafu za kwanza zinazojulikana dunia zimepatikana kutoka Lydia katika Anatolia ya Magharibi iliyokuwa wakati ule sehemu ya utamaduni wa Wagiriki wa Kale. Sarafu zilitengenezwa hasa kwa kutumia metali ya thamani kama dhahabu na fedha, pia ya shaba na wakati mwingine ya chuma. Thamani ya sarafu ililingana na kiasi fulani cha metali hizi.

Siku hizi sehemu kubwa ya fedha inatolewa kama noti yaani kama karatasi. Karibu popote duniani sarafu hutumika kwa ajili ya pesa ndogo tu. Isipokuwa sarafu za dhahabu zinatolewa kwa idadi ndogo hasa kwa ajili ya watu wanaopenda kukusanya aina mbalimbali za sarafu zenye thamani ingawa hazitumiki kama pesa ya kulipia.

Sarafu za kihistoria

Tags:

DuaraKar.Pesa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mfumo wa upumuajiOrodha ya Watakatifu WakristoSteven KanumbaMkwawaAngahewaFonetikiMshale (kundinyota)PalestinaLongitudoKiunguliaMuhammadOrodha ya viongoziRamaniWabunge wa Tanzania 2020Namba za simu TanzaniaNyegeTungo sentensiUfugaji wa kukuJulius NyerereTungo kishaziAfrika ya MasharikiUchimbaji wa madini nchini TanzaniaUtafitiAgano JipyaMkoa wa KageraBiblia ya KikristoShengTarafaUnyanyasaji wa kijinsiaCleopa David MsuyaUandishi wa ripotiMsokoto wa watoto wachangaPunyetoMbuga wa safariZodiakiDhima ya fasihi katika maishaVieleziUharibifu wa mazingiraKalenda ya KiislamuUti wa mgongoChawaMusaBabuNevaWabena (Tanzania)Malengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaMgawanyo wa AfrikaTashbihaDolaKipindupinduUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaWikipediaNyaniOrodha ya Watakatifu wa AfrikaElimuCristiano RonaldoKigoma-UjijiMnururishoMizimuUyahudiRejistaKitenziHerufiWizara za Serikali ya TanzaniaJoseph Sinde WariobaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaSayariHistoria ya UislamuTaswira katika fasihiPasaka ya KiyahudiLionel MessiMfumo wa homoniKontuaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniNembo ya TanzaniaVihisishi🡆 More