Oslo

Oslo ni mji mkuu wa Norwei pia mji mkubwa nchini mwenye wakazi 590,041(1.403.268) 2010). Rundiko la mji lina wakazi zaidi ya milioni.

Oslo
Oslo
Ngao
Oslo is located in Norwei
Oslo
Oslo

Mahali pa Oslo katika Norwei

Majiranukta: 59°54′40″N 10°44′0″E / 59.91111°N 10.73333°E / 59.91111; 10.73333
Nchi Norwei
Jimbo Oslo
Serikali
 - Aina ya serikali Jimbo na manispaa
 - Meya Fabian Stang (H)
Eneo
 - Jumla 454.03 km²
 - Kavu 426.9 km² 
 - Maji 27.13 km² 
Idadi ya wakazi (2010)
 - Wakazi kwa ujumla 590,041
Oslo
Oslo: mji wa kale

Jiografia

Olso iko kwenye mwisho wa kaskazini wa fyord ya Oslo (fyord ni jina la hori ndefu na nyembamba za pwani la Norwei). Visiwa 40 ni sehemu ya eneo la mji. Mahali pa juu ni mlima wa Kirkeberget mwenye kimo cha mita 629. Kuna misitu mingi ndani ya eneo la mji huu.

Historia

Kumbukumbu za Norwei ziandai ya kwamba mji uliundwa na mfalme Harald III manmo mwaka 1048 lakini wataalamu wa akiolojia wamekuta makaburi ya kikristo yanayotangulia tarehe hii.

Jengo mashuhuri la mji ni boma la Akershus lililojengwa kuanzia mwaka 1290.

Mji ulichomwa na moto mnamo 1624. Ulipojengwa upya kwa amri wa mfalme Christian IV ikapewa jina la "Kristiana" (Mji wa Christian). 1925 jina la Oslo likarudishwa.

Oslo  Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oslo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Idi AminAntibiotikiKishazi tegemeziBikiraHistoria ya KiswahiliKizunguzunguClatous ChamaSerie AMfumo wa upumuajiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaAjuzaAslay Isihaka NassoroTungo sentensiAdolf HitlerReal MadridSanaaMmomonyokoMkoa wa Dar es SalaamKhadija KopaLugha ya isharaOrodha ya Magavana wa TanganyikaJokate MwegeloKata za Mkoa wa Dar es SalaamMatamshiUkooKifua kikuuTamthiliaMadhehebuMofolojiaUyakinifuKimondo cha MboziDhanaShuleBenki ya DuniaHifadhi ya SerengetiJohn Samwel MalecelaUtoaji mimbaMimba za utotoniAkiliShangaziMbuDhima ya fasihi katika maishaDubuMkoa wa DodomaMillard AyoRaiaOrodha ya Marais wa TanzaniaMapenzi ya jinsia mojaUbunifuMartha MwaipajaMkanda wa jeshiHistoria ya WapareNetiboliKitenzi kikuuStadi za lughaBendera ya KenyaIsraelFasihiLilithHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoInshaMwanga wa JuaKisaweLahaja za KiswahiliUshairiUpinde wa mvuaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)MuundoDoto Mashaka BitekoUgonjwaUti wa mgongoUgonjwa wa malaleUmoja wa MataifaMaadili🡆 More