Lisbon

Lisbona (kwa Kireno: Lisboa) ni mji mkuu wa Ureno, pia mji mkubwa wa nchi wenye wakazi 560,000; pamoja na rundiko la mji ni milioni mbili.

Lisbon
Mji wa Lisbon







Lisbon
Lisbon
Bendera
Lisbon
Nembo
Majiranukta: 38°42′00″N 09°08′00″E / 38.70000°N 9.13333°E / 38.70000; 9.13333
Nchi Ureno
Mkoa Mkoa wa Lisbon
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 564,477
Tovuti:  http://www.cm-lisboa.pt/
Lisbon
Lisbon katika Ureno

Mji uko kando ya mto Tejo kwenye kona ya kusini-magharibi ya Ulaya mwambaoni kwa Atlantiki.

Historia

Mji ulijulikana tangu karne ya 3 KK kwa jina la "Olispo". Wakati wa Dola la Roma ulikuwa mji mkuu wa jimbo la Lusitania.

  1. 719 ulitwaliwa na Waarabu.
  2. 1147 Lisbon ilitwaliwa na mfalme Mreno Dom Afonso Henriques.
  3. 1256 mfalme Afonso III alihamisha mji mkuu kutoka Coimbra kuja Lisbon.
  4. 1499 Vasco da Gama alirudi Lisbon kutoka safari yake ya kwanza ya Uhindi akaanzisha kipindi cha utajiri kwa Ureno na mji kutokana biashara ya kikoloni.
  5. Karne ya 16: Lisbon imekua na kuwa mji mkubwa duniani unaojulikana wakati ule wenye wakazi 350,000.
  6. 1 Novemba 1755 tetemeko la ardhi liliharibu theluthi mbili za mji na kuua watu 60,000.
  7. 5 Oktoba 1910 Jamhuri ya Ureno ilitangazwa Lisbon.
  8. 1926: mapinduzi ya kijeshi yalimaliza demokrasia na kuanzisha kipindi cha udikteta katika Ureno
  9. 1974: mapinduzi ya kijeshi yalimaliza udikteta na kuanzisha kipindi kipya cha demokrasia

Viungo vya nje

Lisbon 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Lisbon  Makala hii kuhusu maeneo ya Ureno bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lisbon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KirenoMbiliMilioniMjiMji mkuuUreno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UjamaaUfinyanziMwanzoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaMkoa wa MorogoroMfumo katika sokaOrodha ya kampuni za TanzaniaSaidi Salim BakhresaMatumizi ya lugha ya KiswahiliHistoria ya TanzaniaUislamuBendera ya TanzaniaAla ya muzikiMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaTanganyikaKassim MajaliwaZana za kilimoKidoleWiki Foundation22 ApriliMitume wa YesuMaradhi ya zinaaKinjikitile NgwaleWaheheUgonjwa wa malaleVidonda vya tumboFigoMaghaniOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaKamusi ya Kiswahili sanifuInjili ya MathayoSoga (hadithi)Abedi Amani KarumeDawatiMshororoMohammed Gulam DewjiWabunge wa Tanzania 2020Mfumo wa mmeng'enyo wa chakulaLugha ya taifaLigi ya Mabingwa UlayaKiingerezaTashihisiViwakilishi vya kuoneshaMaudhui katika kazi ya kifasihiMofolojiaJuxHistoria ya WapareJogooNg'ombeMbossoKigoma-UjijiChe GuevaraUraibuUrusiMkoa wa SimiyuAjuzaLilithIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)SanaaLugha ya isharaHadithi za Mtume MuhammadPijini na krioliMartha MwaipajaDolar ya MarekaniKipepeoDagaaWayahudiMwenge wa UhuruMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaNyaniBendera ya KenyaTambikoDar es SalaamManchester United F.C.Tarakilishi🡆 More