Kitatar

Kitatar ni lugha ya Kiturki nchini Urusi, Kazakhstan, Uchina na Uturuki inayozungumzwa na Watatar.

Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kitatar nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 4,280,000. Pia kuna wasemaji 104,000 nchini Kazakhstan (2009) na 800 nchini Uchina (1999). Idadi ya wasemaji nchini Uturuki haijulikani. Katika kila ya nchi hizo kuna Watatar wengi ambao hawawezi kuongea Kitatar bali huongea Kirusi, Kikazakh au Kiuyghur kama lugha yao ya kwanza. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitatar iko katika kundi la Kiurali.

Viungo vya nje

Kitatar  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitatar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KazakhstanKikazakhKirusiKiuyghurLugha za KiturkiUchinaUrusiUturuki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KitenziKanisa KatolikiFonimuKishazi tegemeziTasifidaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaShambaSalaMitume wa YesuUbuntuUharibifu wa mazingiraUmoja wa Muungano wa AfrikaMapinduzi ya ZanzibarMbuJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoNafsiShinaNamba ya mnyamaMavaziHarmonizeMkoa wa IringaDaktariUturukiMapambano kati ya Israeli na PalestinaIrene UwoyaHoma ya matumboOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuVivumishi vya -a unganifuViwakilishi vya urejeshiKiongoziNahauRufiji (mto)Historia ya IsraelTabiaWahangazaUkabailaKiambishi awaliUkoloni MamboleoTanganyikaMapafuMobutu Sese SekoMalariaMnazi (mti)UhindiKalenda ya KiislamuMuundoKisaweMzabibuTungo kiraiAdhuhuriSumakuMuhammadLugha za KibantuOsama bin LadenUsanisinuruInsha za hojaMaudhuiDivaiOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMizimuTausiRisalaWahayaNimoniaNikki wa PiliKiburiMungu ibariki AfrikaAfrika ya Mashariki17 ApriliNgono zembeUtapiamloWhatsAppAunt EzekielStadi za lugha🡆 More